Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkasa wa binti aliyeolewa, mengine yaibuka

Ilikuwa Oktoba 7 mwaka huu, saa 1.00 asubuhi katika eneo la Mbondole, Kata ya Msongola, Wilaya la Ilala mkoani Dar es Salaam kulipozuka tafrani baada ya mwanamume mmoja kukamatwa akituhumiwa kumweka kinyumba binti mwenye umri wa miaka 15.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

MKASA:Amanda asimulia mkasa wakufiwa na mchumba wake ghafla na kumuachia mimba lakini mtoto akafia tumboni

"....Kwenye hii dunia ukizaliwa mpaka unakufa lazima kuna mitihani binaadam utaipitia ,toka nimezaliwa me Amanda mpaka leo hii nimepitia mitihani migumu sana ...lakini katika mitihani yooote hakuna mtihani unaokataa kuondoka ndani ya kichwa changu kama ule niliyowahi kufiwa na mchumba angu tena ghafla nusu saa baada ya kuongea nae na kuniachia mimba then mtoto akafia tumboni....

Kiukweli nilijifunza sana na ndio maana mpaka leo uwa naamini kila mwanamke ameumbwa kutoka kwenye ubavu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge aliyeolewa na kinda atoa mpya

MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60), aliyeolewa na kinda wa miaka 26, Michael Christian, amegoma kutoa vyeti vya shule vya kijana huyo na kumtaka...

 

5 years ago

BBCSwahili

Hauwa Ali Mariri: Mwanamke aliyeolewa na wanaume wawili Nigeria

Mgogoro mkali wa kimapenzi umeibuka katika jimbo la Kano nchini Nigeria ambapo wanaume wawili walimuoa mwanamke mmoja wakati tofauti.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mgodi wa mkasa Tanzania

Habari ya uokolewaji wa wachimba madini watano waliokutwa hai baada ya kufukiwa chini ya ardhi kwa siku 41, umeendelea kusisimua wengi nchini Tanzania

 

11 years ago

Mwananchi

Mkasa wa mwenyekiti wa CCM aliyeliwa na mamba

>Mvua inaweza kuwa neema pale inaponyesha kwa wastani, lakini ikawa karaha pale inapokuwa kubwa, hasa kwa watu wanaoishi mabondeni au kandokando ya mito.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkasa wa moto gerezani Rwanda, 3 wauawa

Moto mkubwa umeteketeza gereza la Nyakibira Rubavu, karibu nampaka wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. 3 wamefariki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 27 wafariki katika mkasa moto wa Romania

Watu 27, wengi wao vijana wadogo, wamefariki baada ya moto kuzuka katika kilabu kimoja cha usiku mjini Bucharest, Romania.

 

11 years ago

Mwananchi

Mzee aliyekatwa nyeti asimulia mkasa mzima

Aprili 19, Mzee London Haonga (61) alipatwa na tukio la kutisha kwa kukatwa sehemu zake za siri. Ni tukio la kusikitisha ambalo linadaiwa kufanywa na vijana wadogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkasa uliompata Rais wa Misri nchini Ujerumani

Kisa cha kushangaza na kufadhaisha kimetokea katikati ya wiki iliyopita katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani