Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkataba wa utekelezaji wa electronic single window system wasaniwa jijini Dar

photo 1

Nikizungumza na vyombo vya habari leo kuhusu kuanzishwa kwa mfumo wa “electronic Single Window System” eSWS … utakaotumiwa na wadau wote wa Bandari Tanzania kuanzia June 2014 hii ni sehemu ya utekelezaji wa Big Results Now …!!!! 

photo 2

Mkataba wa utekelezaji wa mfumo wa electronic single window ukitiwa sahihi kati ya Mkurugenzi wa ICT – TPA Ndg. Phares Magesa kwa niaba ya wadau wa Bandari na Ndg. Stan De Smet Meneja Mkuu wa kampuni ya Phaeros ya Ubelgiji ambao ndio wakandarasi wa mradi huu. photo 3

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuanza kutumia mfumo wa “electronic single window system” June 2014

Tanzania iko katika hatua muhimu ya utekelezaji wa mfumo wa National Electronic Single Window System, makati bio ya mfumo huu yataanza mwezi June 2014, utarahisisha ufanyaji biashara na kuchangia kainua uchumi wa Tanzania … Mradi huu ni sehemu ya Mpango wa Matokeo Makubwa sasa ( Big Result Now) unasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa niaba ya wadau wote na utanufaisha watumiaji wa bandari zetu zote, viwanja vya ndege, mipaka yote ya Tanzania. Mfumo huu unatarajiwa kupunguza muda wa...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kuanza kutumia mfumo wa "electronic single window system" mwezi Juni 2014

 Tanzania iko katika hatua muhimu ya utekelezaji wa mfumo wa National Electronic Single Window System, makati bio ya mfumo huu yataanza mwezi June 2014, utarahisisha ufanyaji biashara na kuchangia kainua uchumi wa Tanzania. Mradi huu ni sehemu ya Mpango wa Matokeo Makubwa sasa ( Big Result Now) unasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa niaba ya wadau wote na utanufaisha watumiaji wa bandari zetu zote, viwanja vya ndege, mipaka yote ya Tanzania.  Mfumo huu unatarajiwa kupunguza muda wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA BRN WAFANYIKA LEO JIJINI DAR

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Bashir Mrindoko Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa...

 

10 years ago

Vijimambo

PHILIP MANGULA AONGOZA MKUTANO WA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM WILAYA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula (kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCM, matawi, wenyeviti wa serikali za mitaa na wajumbe wao na mabalozi wa chama hicho wilaya ya Ilala, uliohusu utekelezaji wa ilani na mchakato wa uchaguzi mkuu uliofanyika Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala, Asaa Simba. Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WAMESAINI MKATABA NA PSPF LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 .Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF),  Michael Mhondo  akuzungumza na wadau mbalimbali (hawapo pichani)  juu ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wamesaini mkataba wa kutoa huduma za afya  kwa wanachama wa mpango wa uchangiaji wa hiari leo jijini Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF),  Michael Mhondo wakushoto na kulia ni Mkurugenzi wa PSPF Adam Maingu, wakisaini mkataba wa kutoa huduma za afya  kwa wanachama wa mpango...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe apokea ripoti ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005

 Mratibu wa Kitaifa wa utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005 Bw. Boniface Kadili (wa pili kushoto) akifafanua jambo  kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) Wakati wa kukabidhi taarifa ya utekelezaji wa mkataba huo mapema hii leo 6Machi katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akisoma  taarifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005 mara baada ya kuipokea mapema hii...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) WASANI MKATABA NA TFF LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya leo umesaini mkataba na Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu nchini (TFF) wa kuwa mdhamini rasmi wa bima za afya kwa vilabu vya ligi kuu ya Vodacom nchini.  Akizungumza wakati wa kutia saini mkataba huo Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bwana Rehani Athumani, amesema katika udhamini huo utakaodumu kwa mwaka mmoja NHIF itakuwa inatoa huduma za matibabu kwa wachezaji na benchi la ufundi kwa klabu zote 16 za ligi kuu, huduma...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe azindua kikao cha wadau kujadili utekelezaji wa Mkataba wa UNESCO 2005



 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wadau wa uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005 unaohusu kulinda na kuendeleza uanuwai wa kujieleza kiutamaduni (hawapo pichani) Wakati wa ufunguzi wa kikao kazi mapema hii leo Machi 10 jijini Dar es Salaam.Wadau wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani