MKE WA KIPINGU AMWAGA MISAADA KWA SHULE ZA MONTESORY, ULONGONI B
SHULE za Montesory na Ulongoni B zilizopo wilaya ya Ilala zimepewa kwa nyakati tofauti misaada ya tani moja ya saruji sambamba na fedha taslim kwa ajili ya kuboresha majengo ya shule hizo.
Misaada hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya Zugo Gold Mining ambaye pia ni Mwakilishi wa Wanawake na Maendeleo ya Vijana na Ajira kwa Wachezaji wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), Zuwena Idd Kipingu, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya shule hizo mwishoni mwa wiki.
Akizungumza...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Msama amwaga misaada ya mil. 5/- kwa yatima
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Muziki wa Injili la Krismasi litakalozinduliwa kesho Uwanja wa Taifa chini ya uratibu wa kampuni ya Msama Promotions, jana ilitoa msaada wa vitu mbalimbali...
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Mkurugenzi Alex Msama amwaga misaada kwa vituo vya watoto yatima, alaani mauaji ya Albino yanayoendelea nchini
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Halima Ramadhan Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwadaliwa kilichopo Tegeta jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni moja ya misaada inayotolewa katika vituo mbalimbali vya kulelea watoto yatima wakati wa msimu huu wa maadalizi ya Tamasha la Pasaka linalotimiza miaka 15 tangu lianzishwe.
Tamasha hilo Litafanyika jijini Dar es salaam Aprili 7...
11 years ago
Michuzi14 Jul
MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU
11 years ago
Michuzi11 Jul
WAZIRI NYALANDU AMWAGA MSAADA WA MILIONI 10 WA MABATI 420 SHULE ZA SEKONDARI KWA AJILI YA MAABARA
Na Hillary Shoo, SINGIDA.Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mkoani Singida, Lazaro Nyalandu ametoa mchango wa mabati 420 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 kwa shule mbili za sekondari za Kata za Mtinko na Kinyeto.Mchango huo ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Jimbo hilo kuchangia katika ujenzi wa maabara mbalimbali kwenye shule za sekondari za Jimbo...
11 years ago
MichuziCHIKAWE AMWAGA MISAADA YA MABATI NA JEZI ZA MIPIRA NACHINGWEA
11 years ago
MichuziMH. CHIKAWE AMWAGA MISAADA YA MABATI 100 NA JEZI ZA MIPIRA NACHINGWEA
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Mke wa Dk. Slaa Amwaga mboga
AZIZA MASOUD NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KWA vijana wa mjini, wanaweza kusema kwamba alichofanya Dk. Willibrod Slaa juzi kwa kuachana na siasa na kurusha tuhuma kwa chama chake, ni sawa na kumwaga ugali, na majibu aliyotoa mkewe wa kwanza, Rose Kamili jana, ni sawa na kumwaga mboga.
Mke huyo aliyedai kutelekezwa na Dk. Slaa mwaka 2010 pamoja na watoto, alisema kiongozi huyo ni mwongo na ni dhaifu kwa wanawake.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Rose alisema...
10 years ago
Dewji Blog09 Jan
Mbunge wa jimbo la Morogogo mjini Mh Abood amwaga misaada kata ya Bigwa Morogoro
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akijibu Hoja mbalimbali kuhusu kero zinazowakabili wakazi wa kata ya bigwa katika ziara yake ya kutembelea kata mbalimbali za jimbo la Morogoro Mjini.Mh Abood aliata nafasi ya kuongea na wakazi wa mitaa wa mitaa mbalimbali inayounda kata ya Bigwa.Mh Abood alijibu na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wakazi wa kata hiyo.Mbunge huyo alitoa majibu kuhusu kero ya umeme, maji ,barabara na nyinginezo.Pia Mh Abood alitoa misaada mbalimbali...
11 years ago
Michuzibalozi seif ali iddi amwaga misaada jimboni kwake kitope, zanzibar