Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkenya kuipa Yanga SC shughuli Uturuki

Na Khadija Mngwai
KIUNGO Mkenya, Patrick Othiako, atapambana na wachezaji wa Yanga katika mechi ya tatu ya kirafiki ya timu hiyo ikiwa nchini Uturuki. Yanga imeweka kambi kwenye Mji wa Antalya nchini Uturuki na leo Jumatano itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Altay FK. Baada ya mechi hiyo ya leo, Januari 22 itacheza mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya Silk inayoshiriki Ligi Kuu ya Azerbaijan. Othiako anayechezea timu ya taifa ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Cecafa yachemka kuipa adhabu Yanga

Katibu wa CECAFA, Nicholas Musonye

Katibu wa CECAFA, Nicholas Musonye

Na Zaituni Kibwana, Kigali

BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limeshindwa kuipa adhabu timu ya Yanga, kwa kosa la kugoma kuwasilisha timu kwenye michuano ya Kombe la Kagame.

Awali baraza hilo chini ya Katibu wake, Nicholas Musonye, lilitangaza kuipa adhabu timu hiyo kwa kitendo chake cha kupeleka timu B katika michuano hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa, Mwenyekiti wa CECAFA, Leodegar Tenga, alisema hakuna...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yamtosa Mkenya

Uongozi wa Yanga umesema kuwa umeamua kuachana na Mkenya Patrick Naggi baada ya kutokuridhishwa na utendaji wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkenya Naggi aonja jeuri ya Yanga

Mkurugenzi wa Uufundi wa Yanga, Patrick Naggi aliyetangaza kumwaga manyanga hivi karibuni kwakile alichodai ni ubabaishaji wa viongozi wa klabu hiyo, bado anaendelea kusota Dar es Salaam akisubirli mafao yake.

 

11 years ago

GPL

YANGA HIYOOO UTURUKI

Msafara wa watu 33 wakiwemo wachezaji 27 unatarajia kuondoka usiku wa leo kuelekea nchini Uturuki kwa shirika la ndege la Uturki (Turkish Airlines) kuweka kambi ya mafunzo kwa muda wa takribani wiki mbili kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya kimataifa. Kikosi cha Young Africans kitafikia katika Hoteli ya kitalii Sueno Beach Side iliyopo km 70 kutoka katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga kwenda Uturuki Alhamisi

>Wakati, Yanga wakipanga kuondoka nchini  Alhamisi kuelekea Uturuki, kiungo mchezeshaji wa timu  hiyo, Athuman Idd Chuji amekalia ‘kuti kavu’ endapo  atashindwa kuomba radhi kabla ya safari hiyo.

 

11 years ago

GPL

Yanga yazuiwa kwenda Uturuki

Kikosi cha wachezaji wa Yanga. Wilbert Molandi na Martha Mboma
IMEFAHAMIKA kuwa, uwepo wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi umezuia kambi ya nje ya nchi ambayo Yanga ilipanga kuiweka, ikiwemo kwenda Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Kombe hilo la Mapinduzi linatarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 12, mwakani likishirikisha timu za Bara na Zanzibar.
Chanzo cha habari kutoka ndani ya Kamati ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yajitoza faini, yaenda Uturuki

Pesa Sabuni ya Roho, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga kuipooza Kamati ya Maandalizi ya Kombe la Mapinduzi kwa kuipa Sh10 milioni kama kifuta jasho.

 

11 years ago

GPL

Kocha Yanga aweka rekodi Uturuki

Kocha mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Mwandishi Wetu
KOCHA mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameweka rekodi mpya akiwa na klabu yake hiyo nchini Uturuki. Kocha huyo Mholanzi ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza wa klabu kutoka nje ya Tanzania kuvaa sare ya timu ya taifa, Taifa Stars. Kwa kipindi chote ambacho Yanga wamekuwa nchini Uturuki, van Der Pluijm amekuwa akivaa koti la Taifa Stars ambalo huvaliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani