Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA HIYOOO UTURUKI

Msafara wa watu 33 wakiwemo wachezaji 27 unatarajia kuondoka usiku wa leo kuelekea nchini Uturuki kwa shirika la ndege la Uturki (Turkish Airlines) kuweka kambi ya mafunzo kwa muda wa takribani wiki mbili kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya kimataifa. Kikosi cha Young Africans kitafikia katika Hoteli ya kitalii Sueno Beach Side iliyopo km 70 kutoka katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga kwenda Uturuki Alhamisi

>Wakati, Yanga wakipanga kuondoka nchini  Alhamisi kuelekea Uturuki, kiungo mchezeshaji wa timu  hiyo, Athuman Idd Chuji amekalia ‘kuti kavu’ endapo  atashindwa kuomba radhi kabla ya safari hiyo.

 

11 years ago

GPL

Yanga yazuiwa kwenda Uturuki

Kikosi cha wachezaji wa Yanga. Wilbert Molandi na Martha Mboma
IMEFAHAMIKA kuwa, uwepo wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi umezuia kambi ya nje ya nchi ambayo Yanga ilipanga kuiweka, ikiwemo kwenda Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Kombe hilo la Mapinduzi linatarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 12, mwakani likishirikisha timu za Bara na Zanzibar.
Chanzo cha habari kutoka ndani ya Kamati ya...

 

11 years ago

GPL

Mkenya kuipa Yanga SC shughuli Uturuki

Na Khadija Mngwai
KIUNGO Mkenya, Patrick Othiako, atapambana na wachezaji wa Yanga katika mechi ya tatu ya kirafiki ya timu hiyo ikiwa nchini Uturuki. Yanga imeweka kambi kwenye Mji wa Antalya nchini Uturuki na leo Jumatano itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Altay FK. Baada ya mechi hiyo ya leo, Januari 22 itacheza mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya Silk inayoshiriki Ligi Kuu ya Azerbaijan. Othiako anayechezea timu ya taifa ya...

 

11 years ago

GPL

Kocha Yanga aweka rekodi Uturuki

Kocha mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Mwandishi Wetu
KOCHA mpya wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameweka rekodi mpya akiwa na klabu yake hiyo nchini Uturuki. Kocha huyo Mholanzi ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza wa klabu kutoka nje ya Tanzania kuvaa sare ya timu ya taifa, Taifa Stars. Kwa kipindi chote ambacho Yanga wamekuwa nchini Uturuki, van Der Pluijm amekuwa akivaa koti la Taifa Stars ambalo huvaliwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wakutana na Robeto Carlos Uturuki

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, wametua nchini Uturuki salama juzi jioni na kufikia Hoteli ya Sueno Beach Side, iliyoko Manavgat pembezoni kidogo mwa Jiji la Antalya, ambayo pia timu...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yajitoza faini, yaenda Uturuki

Pesa Sabuni ya Roho, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga kuipooza Kamati ya Maandalizi ya Kombe la Mapinduzi kwa kuipa Sh10 milioni kama kifuta jasho.

 

11 years ago

GPL

YANGA NDANI YA TURKISH AIRLINE SAFARI UTURUKI.

Wachezaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kulia na Haruna Niyonzima kushoto wakiwa ndani ya ndege ya Turkish Airline kwa safari ya Uturuki Alfajiri ya leo ambako wanakwenda kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Bara. Jerry Tegete katika mgahawa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na chini ni Juma Abdul. HABARI/PICHA: BIN...

 

11 years ago

GPL

YANGA YAENDELEA KUJIFUA, KUONDOKA KESHO UTURUKI

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeendelea na mazoezi ya asubuhi katika viwanja vya hoteli ya Sueno  katika kuendelea kujiweka sawa kabla ya kuanza safari kesho mchana ya kurejea nchini Tanzania tayari kwa mikikimikiki ya mzunguko wa pili wa VPL 2013/2014. Kocha mkuu Hans Van Der Plyum ameendelea kuwaandaa wachezaji wake na kuyafanyia marekebisho kadhaa yaliyojitokeza katika...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND LAANA HIYOOO!

Stori: Erick Evarist na Gladness Mallya
Oooh! Nooh! Wakati akimpa mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’ gari la Sh. milioni 38 huku akitawanya mamilioni ya fedha kwenye matukio mbalimbali, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anadaiwa kunyemelewa na laana kufuatia baba yake, Abdul Jumaa kuugua na kuvimba miguu bila msaada wowote. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani