Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkono anusurika kutekwa Dar

mkonobcNa Kulwa Karedia

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM), amesurika kutekwa na watu wasiofahamika katika eneo la Tangibovu, Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na kusainiwa na Mkono mwenyewe, ilisema tukio hilo lilitokea juzi saa 4:30 asubuhi.
“Nikiwa na wasaidizi wangu wawili tukitoka Bagamoyo tukiwa ndani ya gari langu aina ya Marcedes Benz katika eneo la Mbezi Tangibovu ghafla yalitokea magari mawili ya Toyota Prado na Toyota Land Cruiser VX...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Albino Kaliua anusurika kutekwa

BINTI mwenye ulemavu wa ngozi (Albino), Kulwa Joseph (21), mkazi wa Kijiji cha Usonga Kata ya Silambo Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, ameponea chupuchupu kutekwa baada ya kuvamiwa katika makazi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa mwandishi anusurika kutekwa

Kamanda wa polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz amewatahadharisha wazazi wenye watoto wadogo kuwaelimisha wafanyakazi wa ndani kutowakabidhi watoto wao kwa watu wasiowafahamu.

 

10 years ago

Habarileo

Binti mlemavu wa ngozi anusurika kutekwa

BINTI mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Kulwa Joseph (21) mkazi wa kijiji cha Usonga, Kata ya Silambo wilaya ya Kaliua mkoani Tabora ameponea chupuchupu kutekwa na baada ya kuvamia makazi alikokuwa akiishi.

 

10 years ago

Vijimambo

SHULE ZAFUNGWA JIJINI DAR KUHOFIA WATOTO KUTEKWA

Uvumi wa kuwapo kwa watu wanaoteka nyara watoto kwa kutumia magari aina ya Noah, umeleta mtafaruku katika shule saba za msingi Manispaa ya Temeke, na kusababisha wazazi kuvamia shule hizo na kufungwa kwa muda.Hata hivyo, katika baadhi ya shule hizo kumeripotiwa kutokea vurugu kiasi cha jeshi la polisi kuingilia kati kutawanya watu waliotaka kuvunja mageti ya kuingilia kwenye shule hizo.Taarifa za kuwapo kwa matukio ya watoto kutekwa na watu wasiojulikana zilianza kuenea wiki tatu zilizopita,...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Mtanzania

Makonda anusurika kupigwa mawe Dar

NA WAANDISHI WETU
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda na maofisa wa Jeshi la Polisi jana walijikuta katika wakati mgumu baada ya kunusurika kupigwa mawe na vijana waliokuwa wamejazana katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Makonda na maofisa hao, walifika eneo hilo kwa nia ya kuwaomba madereva wa mabasi yaendayo mikoani kusitisha mgomo waliouanza juzi.
Maofisa wa polisi walionusurika kupigwa mawe ni Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga na...

 

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KUUAWA KATIKA WIZI WA PIKIPIKI MAGOMENI, DAR

Mtuhumiwa wa wizi akiwa amechakazwa kwa kipigo.   Moja ya matofali yaliyotumika kumshambulia mtuhumiwa. …

 

10 years ago

GPL

DEREVA PIKIPIKI ANUSURIKA KIFO MSIMBAZI CENTRE, DAR

Umati wa watu ukiwa umelizunguka gari husika (halionekani). Gari lililogonga likiwa kituo cha petroli. KIJANA mmoja dereva wa pikipiki, ambaye jina lake halikufahamika,  leo amenusurika kufa katika ajali maeneo ya Msimbazi Center jijini Dar es Salaam  baada ya kugongwa na gari dogo. (Na Gabriel…

 

11 years ago

GPL

MTOTO ANUSURIKA KUFA KWA AJALI TABATA-DAR

Mtoto Sadam akiwa amejeruhiwa mikononi baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Carry eneo la Tabata West Mtoto Sadam akionekana baada ya kunusurika na ajali hiyo…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani