Makonda anusurika kupigwa mawe Dar
NA WAANDISHI WETU
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda na maofisa wa Jeshi la Polisi jana walijikuta katika wakati mgumu baada ya kunusurika kupigwa mawe na vijana waliokuwa wamejazana katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Makonda na maofisa hao, walifika eneo hilo kwa nia ya kuwaomba madereva wa mabasi yaendayo mikoani kusitisha mgomo waliouanza juzi.
Maofisa wa polisi walionusurika kupigwa mawe ni Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
'Wezi kukatwa mikono na wazinifu kupigwa mawe'
11 years ago
BBCSwahili24 Apr
Mzee kuuawa kwa kupigwa mawe Nigeria
10 years ago
Habarileo24 Nov
Mzazi amtesa mwanawe, anusurika kupigwa
MKAZI wa kitongoji cha Bogini Juu wilaya ya Moshi Vijijini, Amir Amir amenusurika kupigwa na wananchi kwa madai ya kumnyanyasa mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 10 ( jina lake limehifadhiwa) baada ya kufanikiwa kutoroka kutoka katika makazi yake.
11 years ago
Habarileo09 Aug
Mwalimu Mkuu aamrisha mzazi kuzomewa, kupigwa mawe
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, inadaiwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Darajani iliyoko Tabata katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam kuamuru wanafunzi wake kumzomea mzazi aliyefika shuleni hapo kuhoji juu ya michango wanayodaiwa wanafunzi mara kwa mara.
10 years ago
Vijimambo21 Dec
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JQCJar-9Q-Y/Xl-VysRd-lI/AAAAAAALg7M/RR2ILAmxsP4d1u4NBU6VL6Li4hn4R5IlgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-04%2Bat%2B2.04.17%2BPM.jpeg)
RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w
![](https://1.bp.blogspot.com/-JQCJar-9Q-Y/Xl-VysRd-lI/AAAAAAALg7M/RR2ILAmxsP4d1u4NBU6VL6Li4hn4R5IlgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-04%2Bat%2B2.04.17%2BPM.jpeg)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Mkono anusurika kutekwa Dar
Na Kulwa Karedia
MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM), amesurika kutekwa na watu wasiofahamika katika eneo la Tangibovu, Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na kusainiwa na Mkono mwenyewe, ilisema tukio hilo lilitokea juzi saa 4:30 asubuhi.
“Nikiwa na wasaidizi wangu wawili tukitoka Bagamoyo tukiwa ndani ya gari langu aina ya Marcedes Benz katika eneo la Mbezi Tangibovu ghafla yalitokea magari mawili ya Toyota Prado na Toyota Land Cruiser VX...
11 years ago
GPL24 Mar
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FBfnXTo9RIF7nj7T40MA4zRKCEYvIwlltgSUhKpOF-hErwovEMkk-IR7MEiMKzs66R6rJ*BnZ6lmBiQ3B1ErCxlk94ZU8nnU/MtotoSadamakiwaamejerehuliwamikononi.jpg?width=650)
MTOTO ANUSURIKA KUFA KWA AJALI TABATA-DAR