Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwalimu Mkuu aamrisha mzazi kuzomewa, kupigwa mawe

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, inadaiwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Darajani iliyoko Tabata katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam kuamuru wanafunzi wake kumzomea mzazi aliyefika shuleni hapo kuhoji juu ya michango wanayodaiwa wanafunzi mara kwa mara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Makonda anusurika kupigwa mawe Dar

NA WAANDISHI WETU
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda na maofisa wa Jeshi la Polisi jana walijikuta katika wakati mgumu baada ya kunusurika kupigwa mawe na vijana waliokuwa wamejazana katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Makonda na maofisa hao, walifika eneo hilo kwa nia ya kuwaomba madereva wa mabasi yaendayo mikoani kusitisha mgomo waliouanza juzi.
Maofisa wa polisi walionusurika kupigwa mawe ni Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga na...

 

11 years ago

BBCSwahili

'Wezi kukatwa mikono na wazinifu kupigwa mawe'

Hii ndio sheria mpya itakayoanza kutumika nchini Brunei nchi ya kiisilamu Kusini Mashariki mwa Asia. Nchi hii ni jirani na Malaysia na Indonesia

 

11 years ago

BBCSwahili

Mzee kuuawa kwa kupigwa mawe Nigeria

Mahakama ya kiisilamu katika jimbo la Kano nchini Nigeria, imemkuhuku kifo mzee wa miaka 60 kwa kupigwa mawe hadi afe kwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12.

 

10 years ago

Habarileo

Mzazi amtesa mwanawe, anusurika kupigwa

MKAZI wa kitongoji cha Bogini Juu wilaya ya Moshi Vijijini, Amir Amir amenusurika kupigwa na wananchi kwa madai ya kumnyanyasa mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 10 ( jina lake limehifadhiwa) baada ya kufanikiwa kutoroka kutoka katika makazi yake.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ....WAZIRI MKUU MAJALIWA AVAMIA BANDARI LEO, AAMRISHA KUKAMATWA KWA MAAFISA KIBAO WA TRA

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa leo ameamuru kukamatwa kwa maafisa kadhaa  wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wengine kufukuzwa kazi  baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini na kukuta madudu ambayo hakuyafurahia.Maafisa hao, ambao kwa sasa tunahifadhi majina ili Jeshi la Polisi liweze kuwashughulikia, wametakiwa pia kusalimisha hati zao za usafiri.Hii imekuja baada ya kugundulika kwamba kuna makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 80 ambayo data za Mamlaka ya Bandari inazo...

 

10 years ago

GPL

MWALIMU: NAONGOZA KUPIGWA NA MUME

Makongoro Oging’ na Issa Mnally MWALIMU Gaudencia Gitano (40) anayefundisha Shule ya Msingi Kivelu jijini Dar es Salaam, amedai huenda yeye ndiye anayeongoza kwa kupigwa kuliko wanawake wengine wote jijini, baada ya kudai anazo RB tano za vipigo tofauti kutoka kwa mumewe kwa nyakati mbalimbali tangu aolewe Oktoba 25, 2002, katika ndoa ya kiserikali iliyofungwa Ilala Boma. Mwalimu Gaudencia Gitano (40) anayedai kupigwa mara...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMTEMBELEA MAMA YAKE MZAZI WAZIRI MKUU PINDA MKOANI KATAVI LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlela mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlele mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali.Kinana yuko Mkoani Katavi kwa ziara ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Serbia Vucic apigwa mawe

Waziri mkuu wa Serbia amepigwa mawe na kufukuzwa katika hafla ya ukumbusho wa miaka 20 ya mauaji ya halaiki Srebrenica Bosnia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani