Mkotya atangaza rasmi kumvaa Nkamia
NA PENDO MANGALA, DODOMA
MHARIRI Msanifu wa gazeti la MTANZANIA, Hamisi Mkotya, ametangaza rasmi nia ya kuwania ubunge katika Jimbo la Chemba mkoani hapa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Jimbo la Chemba linaongozwa na Mbunge Juma Nkamia ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Mkotya alitangaza nia hiyo mjini hapa jana, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari na kueleza vipaumbele vyake endapo atafanikiwa kupata nafasi hiyo.
“Kipaumbele changu cha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-kCfwItAexIo/VatiyqgZRkI/AAAAAAAA36c/menfWDSjxTM/s72-c/mkotya%2B1.jpg)
HARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA,KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA,DODOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-kCfwItAexIo/VatiyqgZRkI/AAAAAAAA36c/menfWDSjxTM/s640/mkotya%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-EOOZgmycYOI/Vatiye14DXI/AAAAAAAA36g/2739rTF8Xww/s640/mkotya%2B2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-kCfwItAexIo/VatiyqgZRkI/AAAAAAAA36c/menfWDSjxTM/s640/mkotya%2B1.jpg)
MHARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA, KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA, DODOMA
10 years ago
Habarileo06 Jun
Mwanasheria atangaza kumvaa Kafulila Kigoma
WAKATI mchakato wa kutangaza nia ukiendelea kwa wagombea wa nafasi ya urais nchini, Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma Iddi Ndabhona ametangaza nia kuwania ubunge katika jimbo la Kigoma Kusini wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
10 years ago
Dewji Blog08 Jan
Mwanahabari Humphrey Kisika atangaza kumvaa Kayombo mbunge wa Mbinga Mashariki katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu
Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Humphrey Kisika (32).
Na Fredy Mgunda
Katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika octoba mwaka huu Afisa Habari na Mahusiano wilaya ya Iringa Hafley Kisika ametangaza kugombea ubunge katika jimbo la Mbinga mashariki kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM, ili kuleta maendeleo katika jimbo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari KISIKA amesema kuwa sababu inayompelekea kugombea ubunge katika jimbo hilo ni pamoja na kuleta siasa...
9 years ago
Habarileo25 Aug
Shein rasmi kumvaa Maalim Seif
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amechukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar, akiomba ridhaa kwa wananchi aweze kuongoza katika kipindi kingine cha miaka mitano, ambapo sasa atapambana na mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad.
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Kitabu cha kwanza kinachoeleza Historia ya Klabu ya Simba tangu 1920 hadi sasa chazinduliwa rasmi na Mh. Nkamia
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akijiandaa kukata utepe ili kuweza kuzindua rasmi kitabu hicho cha Historia ya Simba,Wanaoshuhudia kulia ni Mtunzi wa Kitabu hicho Mwina Kaduguda akifuatiwa na Bwana Mkuki Bugoya Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.
Mwina kaduguda Mtunzi wa Kitabu cha “HISTORIA YA SIMBA” akimkabidhi Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Pinda atangaza rasmi kuwania urais
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Lowassa atangaza rasmi kujiunga na Ukawa
9 years ago
VijimamboDK.SLAA ATANGAZA RASMI KUACHANA NA SIASA