Mkulima aliwa na simba shambani kwake
NA AMINA OMARI, MKINGA
MKULIMA mmoja mkazi wa Kijiji cha Mlima kilichopo Kata ya Mwakijembe, wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga, Silyvester Msubari, amefariki dunia baada ya kuliwa na simba.
Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, Mboni Mgaza, alisema jana kuwa mkulima huyo aliuawa juzi alfajiri wakati alipokuwa shambani kwake akilinda mazao yake yasiharibiwe na wanyama.
“Siku ya tukio, marehemu alikuwa shambani kwake akilinda mazao yake yasiharibiwe na wanyama.
“Wanyama hao wamekuwa wakizagaa mashambani kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 May
Mkulima auteka msafara wa Kinana Nzega, auelekeza shambani kwake
Wanachama wapya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakila kiapo cha utii cha hama hicho baada ya kukabidhiwa kadi na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mkutano wa hadharauliofanyika kwenye Uwanja wa Tgaifa katika Kata ya Bukene, wilayani Nzega leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye wakiwapungia mikono wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Tgaifa katika Kata ya Bukene, wilayani Nzega...
11 years ago
GPLMKULIMA AUTEKA MSAFARA WA KINANA NZEGA, AUELEKEZA SHAMBANI KWAKE
11 years ago
Habarileo02 Jul
Nkwabi Ng’wanakilala azikwa shambani kwake
WANATAALUMA wa Tasnia ya Habari na wakazi wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza kwa wingi katika maziko ya nguli wa tasnia ya habari, Nkwabi Ng’wanakilala aliyezikwa shambani kwake Kibamba CCM katika Manispaa ya Kinondoni.
11 years ago
Mwananchi05 May
Mwenyekiti wa CCM aliwa na mamba Rufiji
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
Mkazi wa Singida akutwa ameuwawa na kutupwa porini aliwa na Fisi
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka akitoa taarifa kwa vyombo vya habari (havipo pichani).
Na Nathaniel Limu, Singida
MWILI wa mkulima na mkazi wa kijiji cha Manguanjuki kata ya Mandewa tarafa ya Unyamikumi manispaa ya Singida, Iddi Alli (35), ameuawa na mtu/watu wasiojulikana na kisha baadae sehemu za mwili wake kuliwa na Fisi.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka,alisema mwili huo wa mkulima huyo umeokotwa na raia wema juzi saa 1.38...
5 years ago
BBCSwahili25 Mar
Coronavirus: Mwanaume aliyekiuka amri ya kukaa nyumbani aliwa na mamba Rwanda
11 years ago
Tanzania Daima30 Jul
Mwanamke ajinyonga shambani Tabata
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Irene Ibrahim (22), mkazi wa Tabata Kisukuru manispaa ya Ilala, amefariki dunia baada ya kujinyonga. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB22 Aug
Gesi si mwarobaini wa umasikini, kazi shambani
![Rais Kikwete na Waziri Muhongo Rais Kikwete na Waziri Muhongo](http://www.raiamwema.co.tz/sites/default/files/styles/medium/public/field/image/367_mwarobaini.jpg?itok=zSL-9PFw)
Angola, Equatorial...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Mchungaji TAG akutwa amekufa shambani