MKULIMA AUTEKA MSAFARA WA KINANA NZEGA, AUELEKEZA SHAMBANI KWAKE
 Wanachama wapya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakila kiapo cha utii cha hama hicho baada ya kukabidhiwa kadi na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Tgaifa katika Kata ya Bukene, wilayani Nzega jana.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye wakiwapungia mikono wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa hadhara...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 May
Mkulima auteka msafara wa Kinana Nzega, auelekeza shambani kwake
Wanachama wapya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakila kiapo cha utii cha hama hicho baada ya kukabidhiwa kadi na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mkutano wa hadharauliofanyika kwenye Uwanja wa Tgaifa katika Kata ya Bukene, wilayani Nzega leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye wakiwapungia mikono wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Tgaifa katika Kata ya Bukene, wilayani Nzega...
10 years ago
Mtanzania05 May
Mkulima aliwa na simba shambani kwake
NA AMINA OMARI, MKINGA
MKULIMA mmoja mkazi wa Kijiji cha Mlima kilichopo Kata ya Mwakijembe, wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga, Silyvester Msubari, amefariki dunia baada ya kuliwa na simba.
Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, Mboni Mgaza, alisema jana kuwa mkulima huyo aliuawa juzi alfajiri wakati alipokuwa shambani kwake akilinda mazao yake yasiharibiwe na wanyama.
“Siku ya tukio, marehemu alikuwa shambani kwake akilinda mazao yake yasiharibiwe na wanyama.
“Wanyama hao wamekuwa wakizagaa mashambani kwa...
11 years ago
Habarileo02 Jul
Nkwabi Ng’wanakilala azikwa shambani kwake
WANATAALUMA wa Tasnia ya Habari na wakazi wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza kwa wingi katika maziko ya nguli wa tasnia ya habari, Nkwabi Ng’wanakilala aliyezikwa shambani kwake Kibamba CCM katika Manispaa ya Kinondoni.
10 years ago
Michuzi02 Oct
NDUGU ABDULRAHMAN KINANA SHAMBANI KIJIJI CHA KWEMNYEFU
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/1.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima na kupanda mahindi katika shamba kijijini Kwemnyefu Kata ya Mpapayu wilayani Mheza mkoani Tanga pamoja na wananchi wakati alipotembelea shamba hilo na kukagua shughuli za kilimo cha mkono, Katika shughuli hiyo katibu mkuu huyo ameshirikiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za...
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Kinana apokewa kwa mabango Nzega
MSAFARA wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, juzi ulikumbana na wakati mgumu baada ya kupokelewa kwa mabango yanayolaani uamuzi wa serikali ya chama chake kuwaondoa wachimbaji...
10 years ago
Uhuru Newspaper12 Mar
Wanavijiji wasimamisha msafara wa Kinana
MSAFARA wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, juzi ulilazimika kusimama kwa dakika kadhaa baada ya wakazi wa baadhi ya vijiji vya Jimbo la Chemba, kuusimamisha.
Kusimama kwa msafara huo kulitokana na wakazi wa vijiji hivyo kusimama barabarani wakiwa na mabango yanayoelezea kilio cha kukosekana kwa maji.
Msafara huo wa Kinana ulikumbana na kadhia hiyo, ulipofika
katika vijiji vya Songoro, Goima, Itolwa, Mrijo na Jenjelusi, maeneo ambayo wananchi wake wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la maji...
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Wananchi wazuia msafara wa Kinana
NA ELIYA MBONEA, BAHI
MAMIA ya wananchi katika Kata ya Msisi, Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma, wamesimamisha msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakitaka kupata ufafanuzi wa majengo ya Shule ya Msingi Msisi yaliyoezuliwa na mvua mwaka 2011.
Kinana alikutana na hali hiyo juzi saa 12:30 jioni alipokuwa akitoka katika vijiji vya Kongogo, Chonde, Irindi, Nguju na Lamaiti akielekea mjini Dodoma.
Kinana yuko mkoani Dodoma kushiriki shughuli za maendeleo, kukagua utekelezaji wa ilani...
11 years ago
Dewji Blog11 May
Kinana afunika Nzega, Kigwangala na Bashe wachuana kutoa misaada mbele yake
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Nzega njini kwenye mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Parking hapo Nzega ambapo aliitaka serikali kupunguza vikwazo na maamuzi juu ya maendeleo ya wananchi yasichukue muda mrefu.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa wilaya ya Nzega kwenye mkutano uliofanyika Nzega mjini na kuwaambia wananchi hao kuwa wasisumbuke na wapinzani kwani wapinzani hawapo kwa ajili ya maslahi ya maendeleo ya...
11 years ago
Michuzi11 May
KINANA AWAKUTANISHA WATANI WA JADI HAMIS KIGWANGALAH NA HUSSEIN BASHE WILAYANI NZEGA
Mbunge wa Jimbo la Nzega Hamis Kigwangalah (kushoto), akimpongeza Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Hussein Bashe aliyetoa...