Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURUGENZI WA SHIRIKA LA MISAADA LA UINGEREZA AKUTANA NA RAIS.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Mkurugenzi wa Shirika la misaada la Uingereza DFID Vel Gnanendran alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuzungumza na Rais leo (katikati) Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bibi. Dianna Melrose. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa Shirika la misaada la Uingereza DFID Vel Gnanendran alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. [Picha na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muuangano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Kiondo, wakati alipofika na ujumbe wake Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 2, 2015 kwa mazungumzo.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Kombe kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, ikiwa ni sehemu ya shukrani...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MERO AKUTANA NA Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani,Dr. Margert Chan

Balozi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa,Geneva,Mhe. Balozi Modest J.Mero amekutana na Dr. Margert Chan, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, katika ofisi za Shirika la Afya Dunia jana tarehe 31 Januari 2014. 
Huu mkutano ni moja ya mikutano ambayo Mhe Balozi anafanya na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu hapa Gevena, Uswisi Katika kajenga mahisiano ya karibu kikazi. Katika mkukutano huu msimamo wa Tanzania kuhusu masuala mbalimbali ya Afya...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MERO AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LINANOPAMBANA NA UKIMWI (UNAIDS)

Mhe. Modest J. Mero, Balozi wa kudumu, Ubalozi wa Tanzania, Geneva alipokutana na Bi. Jan Beagle, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalopambana na UKIMWI (UNAIDS), katika ofisi ya ubalozi wa Tanzania. Bi. Jan pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Bi. Jan alimtembelea Balozi kwa lengo la kumtaarifu juu ya majukumu ya bodi ya UNAIDS. Hii pia ni muendelezo wa mikutano ambayo Mhe Balozi anafanya na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu hapa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Balozi Seif akutana na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya usafiri na matengenezo ya Ndege la AVIC

Picha na – OMPR – ZNZ. Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya usafiri na matengenezo ya Ndege la avic kutoka Jamuhuri ya Watu wa China limejitolea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuanzisha mradi […]

The post Balozi Seif akutana na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya usafiri na matengenezo ya Ndege la AVIC appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd akutana na Mkurugenzi wa Kampuni inayojihusisha na mafunzo ya ufundi ya European Erun ya Nchini Uingereza

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Kampuni inayojihusisha na mafunzo ya ufundi ya European Erun ya Nchini Uingereza Bwana Ramesh Kumar mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Msekwa Mjini Dodoma. Kati kati yao ni Waziri wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati Zanzibar Mh. Ramadhan Abdulla Shaaban. Afisa Miradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar { ZSSF } Nd.Khalifa Muumin akimpatia ufafanuzi Makamu wa Pili wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais amteua Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC)

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).

Kulingana na, Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.

Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS AMTEUA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI (TPDC)

Dkt. James P. MATARAGIO 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).

Kulingana na, Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekaniakiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni...

 

9 years ago

MillardAyo

Ninayo ripoti ya Rais Magufuli alivyothibitisha kumsimamisha Mkurugenzi shirika la reli

Siku ya December 22 2015 inanifikia ripoti nyingine inayohusiana na maamuzi ya Rais John Magufuli Ikulu Dar es Salaam. Ripoti yenyewe inahusu kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania RAHCO, Mhandisi Benhadard Tito. Kwenye ripoti hiyo kuna taarifa kwamba Mkurugenzi huyo amesimamishwa kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi katika mchakato […]

The post Ninayo ripoti ya Rais Magufuli alivyothibitisha kumsimamisha Mkurugenzi shirika la reli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani