Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano mkuu wa LAPF waanza Arusha

MMKUTANO mkutano mkuu wa saba wa wadau wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na wajumbe zaidi ya 700 kutoka ndani na nje ya nchi, umeanza jana jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF KUFANYA MKUTANO WA 7 WA MWAKA WA WADAU JIJINI ARUSHA OKTOBA 23-24,2014

 Pichani (wa tatu kulia),Meneja Matekelezo Mfuko wa Pensheni wa LAPF,Bwa.Victor Kikoti akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani),mapema leo katika ofisi zao zilizopo jengo la Millenium Tower,Kijitonyama jijini Dar,kuhusiana na kufanyika kwa mkutano wao wa 7 wa mwaka wa wadau kuanzia Oktoba 23 mpaka 24, 2014.
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa mikutano (AICC),jijini Arusha.Bwa.Victor amesema kuwa kauli mbiu ya mkutano huo ni '' kusherehekea miaka 70 ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 4 wa wadau wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele waanza leo jijini Arusha

Mgeni rasmi katika Mkutano wa 4 wa wadau wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele, Mkurugenzi wa Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Neema Rusibimayila, akifungua mkutano huo ulioanza leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya New Arusha, Jijini Arusha. Mradi huo wa kuwasaidia watu wenye magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele, umefika kwenye mikoa kumi na saba na wilaya 110 mwaka 2014.Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) toka Geneva nchini Uswiss, Denise Mupfason akielezea ushiriki...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF waanza rasmi leo jijini Arusha

Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake wakati akifungua mkutano huo unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo Septemba 10 mpaka Septemba 12,2014.Katika hotuba yake hiyo,Mh. Nchemba wameutaka Mfuko wa PPF kuhakikisha wanapanua wigo kwa kuongeza wanachama wengi kutoka kwenye setka binafsi hasa wananchi wa kipato cha...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAANZA LEO JIJINI DAR

Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi, akizindua huduma mpya ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo Feb 26.2014. Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya ukaribisho kwenye ufunguzi wa Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo leo Feb 26.2014,katika Ukumbi wa J.K Nyerere,jijini Dar es Salaam. Wakurugenzi wa idara mbalimbali za mfuko wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA BARAZA LA WATOTO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAANZA LEO MJINI DODOMA

Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni chombo cha kuwashirikisha watoto katika maamuzi mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Baraza la Watoto lilianzishwa mwaka 2002 likiwa na lengo la kuongeza ushiriki wa watoto katika ngazi mbalimbali za jamii kama  mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto (CRC) ulivyoeleza ambapo Tanzania kama nchi mwanachama wa Umoja wa mataifa unapaswa kuutekeleza.
kila baada ya miaka 2 Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hufanya mabadiliko ya...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA MAOFISA WAKUU WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI WAANZA LEO MJINI MOSHI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu, akisalimiana na makamishna wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili kwa ajili ya kumpokea mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya ndani kwenye ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi. Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Mh, Pereira Ame Silima akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu baada ya kuwasili katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi kwa ajili ya...

 

11 years ago

Michuzi

JK afungua Mkutano mkuu wa NSSf jijini Arusha leo

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF  Bwana Crescentius Magori akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  katika viwanja vya AICC mjini Arusha ambapo alifungua mkutano Mkuu wa wadau wa NSSF leo jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo muda mfupi baada ya kuwasili katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC mjini Arusha leo ambapo alifungua mkutano wa nne wa wadau wa NSSF.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 19 WA WANAHISA WAKE JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo.
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo  akizungumza wakati wa mkutano wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani