Mkutano Ukawa wakatishwa kwa vurugu
JESHI la polisi mkoani Mtwara jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi ili kurejesha hali ya amani katika mkutano wa Chadema uliofanyika katika viwanja vya Mashujaa mjini hapa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Uamuzi wa Ukawa usizushe vurugu
UAMUZI wa Vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wa kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu mwakani umeelezwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JnNsxgX9lA3l9VIz4hl92xiFinVw*oVgAZ8hDce9TgTkAbLwFLh7DUmKG4T*qzFLWcN2tNvOpp*nFLzUX8MHLnXr7s4djCfk/PicMonkeyCollage10.jpg?width=650)
UKAWA, MAANDAMANO, BMK KUSABABISHA VURUGU
9 years ago
Vijimambo19 Sep
Vurugu Ukawa sasa zasambaa mikoa 4
![Vurugu Ukawa sasa zasambaa mikoa 4](http://www.habarileo.co.tz/images/resized/images/duni18_478_290.jpg)
Hali hiyo ambayo imevuruga hadi majimbo ya wenyeviti wenza wa Ukawa, ni tofauti na mtafaruku mwingine unaoendelea ndani ya chama kimoja katika safu za uongozi wa juu, ambazo zimepewa jina la ‘kushuka njiani wakati safari ikiendelea’.
Mkoa wa Morogoro una majimbo 11 ya uchaguzi, ambapo CUF...
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
CCM wafanya vurugu mkutano wa CUF
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wafuasi wao wanadaiwa kuvamia eneo la mkutano uliokuwa umeandaliwa na Chama cha Wananchi (CUF), eneo la Buguruni jijini Dar es Salaam kwa ajili...
10 years ago
StarTV10 Jan
Vurugu kuapishwa Serikali za Mitaa, UKAWA na CCM zalaumiana.
Na Josephine Shem,
Dar Es Salaam.
Siku chache baada ya kuibuka kwa Vurugu kwenye sherehe za kuapishwa Viongozi waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika mwaka jana Nchini kote, Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Vyama vinavyounda Umoja wa Wananchi UKAWA vimetupiana lawama kuhusiana na Vurugu hizo.
Kwa upande wake CCM ilivilaumu vyama vya Upinzani kuwa ndiyo chanzo cha matatizo hayo kwa kuwa na mazoea ya kuanzisha Vurugu pindi wanaposhindwa katika chaguzi mbalimbali,...
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Yanga fanyeni mkutano mkuu kesho bila vurugu
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WAKUPAMBANA NA VURUGU NA UGAIDI, WASHINGTON MAREKANI
9 years ago
Vijimambo30 Aug
MKUTANO WA UKAWA JANGWANI
Ahimidiwe MUNGU aletaye Wokovu. Ashukuriwe MUNGU atupaye yele tumwombao. Atukuzwe MUNGU atazamaye kila Mnyonge na kumfariji.
Posted by UKAWA Seattle Washington STATE on Saturday, August 29, 2015