Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uamuzi wa Ukawa usizushe vurugu

UAMUZI wa Vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wa kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu mwakani umeelezwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Ukawa uamuzi mgumu

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangaza kuhama CCM na kujiunga na Ukawa kupitia Chadema, wasomi na wachambuzi wa masuala ya siasa wamesema pande hizo mbili zimefanya uamuzi mgumu ambao utanufaisha kila upande.

 

9 years ago

Vijimambo

Vurugu Ukawa sasa zasambaa mikoa 4

Vurugu Ukawa sasa zasambaa mikoa 4VURUGU zinazoendelea ndani ya umoja wa vyama vinne vya upinzani (Ukawa), kuhusu kuachiana majimbo na kata baada ya kusambaa katika mikoa ya Mtwara, Tabora na Kilimanjaro, sasa zimegonga hodi mkoani Morogoro.

Hali hiyo ambayo imevuruga hadi majimbo ya wenyeviti wenza wa Ukawa, ni tofauti na mtafaruku mwingine unaoendelea ndani ya chama kimoja katika safu za uongozi wa juu, ambazo zimepewa jina la ‘kushuka njiani wakati safari ikiendelea’.

Mkoa wa Morogoro una majimbo 11 ya uchaguzi, ambapo CUF...

 

10 years ago

GPL

UKAWA, MAANDAMANO, BMK KUSABABISHA VURUGU

Na MWANDISHI WETU
ZIPO dalili kuwa wito wa viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wa kutaka watu kuandamana nchi nzima na migomo isiyoisha, kwa shinikizo la kutaka kusitishwa kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba (BMK) kunaweza kusababisha vurugu zitakazowalazimu polisi kutumia mabomu ya kutoa machozi ili kuzidhibiti. Hali hiyo inatokana na mkanganyiko uliotokea baada ya kauli ya Mwenyekiti...

 

9 years ago

Habarileo

Mkutano Ukawa wakatishwa kwa vurugu

JESHI la polisi mkoani Mtwara jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi ili kurejesha hali ya amani katika mkutano wa Chadema uliofanyika katika viwanja vya Mashujaa mjini hapa.

 

11 years ago

GPL

UAMUZI ULIOTANGAZWA NA WIZARA YA FEDHA KWA UKAWA BAADA YA KUSUSIA VIKAO VYA BUNGE LA KATIBA

Naibu wake Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba. Wizara ya Fedha kupitia Naibu wake Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba wametangaza uamuzi wa kufuta malipo ya Wabunge waliosusia vikao vya mchakato wa Katiba vinavyoendelea Dodoma.

Uamuzi huu umetangazwa ikiwa ni siku ya pili tangu Wajumbe wa Bunge la Katiba Kutoka UKAWA wasusie Shughuli za Bunge la Katiba kwa Madai wamechoka matusi na Kuburuzwa kwenye Bunge hilo.

Hii leo...

 

10 years ago

StarTV

Vurugu kuapishwa Serikali za Mitaa, UKAWA na CCM zalaumiana.

Na Josephine Shem,

Dar Es Salaam.

 

Siku chache baada ya kuibuka kwa Vurugu kwenye sherehe za kuapishwa Viongozi waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika mwaka jana Nchini kote, Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Vyama vinavyounda Umoja wa Wananchi UKAWA vimetupiana lawama kuhusiana na Vurugu hizo.

 

Kwa upande wake CCM ilivilaumu vyama vya Upinzani kuwa ndiyo chanzo cha matatizo hayo kwa kuwa na mazoea ya kuanzisha Vurugu pindi wanaposhindwa katika chaguzi mbalimbali,...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani