Mkutano wa Bunge kuendelea leo
MKUTANO wa 15 wa Bunge la Bajeti, unaingia wiki ya pili ya vikao vyake, ambavyo wizara zinawasilisha bajeti zake huku leo Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira zikiwasilisha bajeti zake.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Nov
Bunge kuendelea kukutana leo
MKUTANO wa 16 na 17 wa Bunge, unaendelea leo ambao pamoja na mambo mengine, Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu fedha za akaunti ya Escrow, zinatarajiwa kukabidhiwa.
10 years ago
Habarileo08 Sep
Bunge la Katiba kuendelea tena leo
BUNGE Maalumu la Katiba leo linaendelea tena mjini hapa huku kamati zote 12 zinatarajia kuwasilisha taarifa zake za sehemu za ibara ya rasimu ya katiba. Bunge hilo linafanya vikao vyake bila wajumbe kutoka kundi la katiba ya wananchi (Ukawa), ambalo leo viongozi wake kupitia Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wanakutana tena na Rais Jakaya Kikwete kuokoa mchakato wa katiba.
10 years ago
GPLBUNGE KUENDELEA LEO SAA TANO ASUBUHI
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUBWA WA KIROHO KUENDELEA LEO JUMAMOSI DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI
5 years ago
MichuziHOTUBA YA WAZIRI MKUU KASSIM MALIWA WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 19 WA BUNGE JIJINI DODOMA LEO.
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA KUMI NA TISA WA BUNGE
1. MheshimiwaSpika, naomba nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujaalia afya njema na kutuwezesha kufika siku hii ya leo ambayo naiita kuwa ni siku ya kihistoria kwetu.
2. Nasema kuwa ni ya kihistoria kwa sababu Bunge lako Tukufu linahitimisha shughuli za Bunge la Kumi na Moja (11) la...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Bunge la Katiba kuendelea Jumatatu
BUNGE Maalumu la Katiba limeahirishwa hadi Jumatatu ili kutoa fursa kwa wajumbe wake kusoma Rasimu ya Kanuni kabla ya kuijadili kuanzia siku hiyo. Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo, Pandu Ameir Kificho aliahirisha Bunge hilo jana mchana baada ya kuwasilishwa kwa Rasimu hiyo bungeni.
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Askofu asikitishwa kuendelea bunge la katiba
ASKOFU wa kanisa katoliki jimbo la Lindi, Bruno Ngonyani amesikitika kuhusu kuendelea kwa vikao vya Bunge maalumu la katiba mjini Dodoma. Pia ameshangazwa na uamuzi wa wajumbe wa bunge hilo...
11 years ago
Dewji Blog26 Jul
Bunge Maalum la Katiba kuendelea — SITTA
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari jana (hawapo pichani) kuhusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ndogo za Bunge jijini Dares Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari jana (hawapo pichani) kuhusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya...
11 years ago
Mtanzania07 Aug
Filikunjombe: CCM imekosea kuendelea na Bunge la Katiba
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe
NA WAANDISHI WETU
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amesema kitendo cha wabunge wa CCM kuendelea na mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ni matumizi mabaya ya wingi wao ndani ya Bunge hilo.
Pamoja na hayo, amesema haungi mkono hatua iliyofikiwa ya kitendo cha wajumbe wenzake wa CCM kuendelea na mchakato wa Katiba mpya kwa sababu swala la Katiba halina mshindi.
Alisema kitendo kilichofanywa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kususia vikao vya Bunge...