Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano wa Burundi Mei 31

Mkutano wa dharura wa marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), utafanyika Dar es Salaam Mei 31 mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa EAC kuhusu Burundi kufanyika mwishoni mwa mwezi Mei

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) tarehe 25 Mei, 2015 kuhusu Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Mei, 2015 kuhusu masuala ya amani na usalama nchini Burundi. Mkutano huo ambao umeitishwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya EAC, Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri.Mhe. Membe...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA ISHIRINI WA BUNGE LA KUMI KUANZA DODOMA TAHERE 12 MEI 2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA




1.0       UTANGULIZI

Mkutano wa Ishirini (20) wa Bunge la Kumi (10) unatarajia kuanza mjini Dodoma tarehe 12 Mei 2015. Mkutano huo ambao ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali ndiyo utakaokuwa mkutano wa mwisho wa Bunge hili kabla ya kuvunjwa na baadaye kufanyika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2015.


Hivyo, Wabunge wote wanapaswa kuwa wamewasili mjini Dodoma  ifikapo Jumapili tarehe 10 Mei 2015 tayari kuhudhuria kikao cha...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA MEI 10 JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha. Benki ya CRDB itafanyaka mkutano wake Mkuu wa Mwaka Mei 10 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha. (Na Mpiga Picha Wetu)

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akionyesha kitabu cha taarifa ya mwaka 2013 cha benki ya CRDB katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Arusha. Katikati ni Katibu wa Benki hiyo, John Rugambo na Mkurugenzi wa Fedha, Fredrick Nshekanabo. Benki ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkutano kuhusu Burundi kufanyika Brussels

Mkutano wa ngazi za juu wa kujadili hali nchini Burundi utaanza leo mjini Brussels, Ubelgiji mada kuu ikiwa msukosuko wa kisiasa nchini humo na uhusiano wake na Umoja wa Ulaya.

 

9 years ago

Mwananchi

Burundi wakacha mkutano wa upatanishi Arusha

Mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa nchi ya Burundi yameanza jijini Arusha bila serikali ya nchi hiyo kutuma wawakilishi kwenye mkutano huo.

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO) NCHINI USWISI TAREHE: 25 MEI HADI 12 JUNE 2015.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi akiwa kwenye picha ya pamoja na ujumbe wa Tanzania na wajumbe toka nchi wanachama wa WMO.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi pamoja na ujumbe wa Tanzania akiwemo Bwana Mohamed Ngwali, Mkurugenzi wa TMA – Ofisi ya Zanzibar, wanashiriki mkutano mkuu wa 17 wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) unaofanyika Uswisi, makao makuu ya Shirika hilo kuanzia tarehe 25 Mei hadi 12 Juni...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Mkutano wa Pili wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa EAC kuhusu Burundi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa kwanza kulia) kwa pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven (wa pili kulia), Rais wa Afrika Kusini, Mhe Jacob Zuma (wa tatu kutoka kulia), Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Mhe. Alain Nyamitwe (wa tatu kushoto) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Richard Sezibera (wa pili kushoto), wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kabla ya kuanza rasmi kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANAHARAKATI WA BURUNDI AOMBA MKUTANO WA KESHO WA MARAISI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUTOMRUHUSU RAIS NKURUNZIZA KUTOGOMBEA MUHULA WA TATU

 Mwenyekiti wa Chama cha UPD-Zigamimbaga, ambaye pia ni mwanaharakati wa vuguvugu la maandamano nchini Burundi, Mugwengezo Chauvineau. 
 Mwenyekiti wa Chama cha UPD-Zigamimbaga, ambaye pia ni mwanaharakati wa vuguvugu la maandamano nchini Burundi, Mugwengezo Chauvineau (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mvutano wa kisiasa dhidi ya rais wa nchi hiyo ambapo amewataka viongozi wa nchi za Afrika Mashariki wanaokutana leo jijini Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani