Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Burundi wakacha mkutano wa upatanishi Arusha

Mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa nchi ya Burundi yameanza jijini Arusha bila serikali ya nchi hiyo kutuma wawakilishi kwenye mkutano huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA UPATANISHI WA CHAMA CHA SPLM YA SUDAN KUSINI JIJINI ARUSHA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie leo kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,, Naibu Rais wa Afrika Kusini, Mhe Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Kikwete, Rais Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya Kusini Dkt...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MUSEVENI ATEULIWA KUWA MSIMAMIZI WA KUONGOZA JUHUDI ZA UPATANISHI MGOGORO WA BURUNDI

Taarifa ya makubaliano toka kwa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetolewa leo Ikulu Dar es Salaam wakati wa kuhitimisha Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo ambapo baadhi ya maadhimio waliyokubaliana ni kwamba Rais Museveni wa Uganda awe msimamizi wa juhudi za upatanishi wa makundi nchini Humo.
Akizungumza wakati wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Richard Sezibera alisema kuwa Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Museveni apewe jukumu la...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Tanzania wakacha mkutano wa Bunge A. Mashariki

Wabunge watatu pekee kati ya tisa wa Tanzania ndio waliohudhuria mkutano wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) uliofanyika Makao Makuu ya Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upatanishi, usuluhishi wa migogoro ya kikazi — (2)

WIKI iliyopita nilisema kwamba mgogoro unaweza kutafsiriwa kuwa ni uhusiano kati ya pande mbili au zaidi zenye mahitaji yasiyokubaliana au yanayopingana. Hata hivyo  mpatanishi atalazimika kutatua mgogoro ndani ya siku...

 

10 years ago

Habarileo

Mkutano wa Burundi Mei 31

Mkutano wa dharura wa marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), utafanyika Dar es Salaam Mei 31 mwaka huu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkutano kuhusu Burundi kufanyika Brussels

Mkutano wa ngazi za juu wa kujadili hali nchini Burundi utaanza leo mjini Brussels, Ubelgiji mada kuu ikiwa msukosuko wa kisiasa nchini humo na uhusiano wake na Umoja wa Ulaya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Burundi kususia mazungumzo Arusha

Serikali ya Burundi imesema haitashiriki mazungumzo ya amani ambayo yamepangiwa kuanza hapo kesho mjini Arusha.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA BAWACHA ARUSHA

 Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema akihutubia katika mkutano wa BAWACHA Arusha. Baadhi ya kinamama waliohudhuria mkutano wa BAWACHA wakionekana wenye furaha.Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mh Amani Golugwa (wa pili kutoka kushoto) akicheza ngom kuwaunga mkono akinamama wa Arusha katika mkutano wa Baraza la Wanawake BAWACHA Arusha

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani