Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA MAAFISA MIPANGO WAFUNGULIWA RASMI

Mkutano wa kitaalamu ambao unawakutanisha wataalamu mbalimbali kutoka tasnia za mipango, uchumi, takwimu na maendeleo, wenye wajibu wa kusimamia uchumi na mipango umefunguliwa rasmi na kuwakutanisha kwa pamoja wakurugenzi wa sera na mipango, maafisa mipango kutoka kwenye wizara, Serikali za Mitaa, idara na wakala wa Serikali, pamoja na taasisi za kitaaluma na watafiti wanaojishughulisha na masuala ya maendeleo na uchumi.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, Balozi (Mstaafu) Dkt....

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI LUMBANGA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA MAAFISA MIPANGO

 Mgeni Rasmi wa mkutano wa mwaka wa wachumi na maafisa mipango, Balozi Dkt. Matern Lumbanga akizungumza na washiriki wa Mkutano huo kabla ya kuufungua rasmi. Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango akisoma hotuba wakati wa mkutano wa mwaka wa wachumi na maafisa mipango unaofanyika jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya viongozi wa wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (Hayupo...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Maafisa Mipango kufanyika Oktoba

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango), Bi Joyce Mkinga (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitoa taarifa ya kufanyika kwa Mkutano wa Maafisa Mipango unaotarajiwa kufanyika Mwezi wa Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mchumi Mkuu (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango), Bw. Omary Juma.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA DICOTA WAFUNGULIWA RASMI MJINI DURHAM

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akifungua rasmi Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Baraza la Watanzania waishio Marekani (DICOTA 2014) Mkutano huo wa siku tatu unafanyika katika Hoteli ya Millenium mjini Durham, North Carolina. Washiriki kwenye mkutano huo ni pamoja na Watanzania kutoka Majimbo mbalimbali ya Marekani, Wajumbe kutoka Serikalini na Sekta Binafsi na Serikali ya Marekani. Katika hotuba yake ya ufunguzi Balozi Sefue alilipongeza Baraza la DICOTA kwa juhudi na mafanikio...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA BARAZA LA PILI LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI WAFUNGULIWA RASMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora Mhe. George Mkuchika, (katikati) akiwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Juma Assad (kushoto) pamoja na wajumbe wengine wakiimba wimbo wa wafanyakazi wakati wa Mkutano wa Pili wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi uliofanyika jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Naf Beach iliyoko mkoani Mtwara.… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa pili wa mwaka wa Kimataifa wa wataalamu wa kudhibiti Mbu wafunguliwa rasmi leo jijini DAR

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Utafiti  wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI), Dk.
Mwele Malecela akifungua mkutano huo wa pili wa mwaka wa kimataifa wa wataalam
wa kudhibiti Mbumbu kwa Nchi zisizofungamana Afrika (PAMCA) ulioanza leo jijini
Dar es Salaam. Washiriki wa mkutano huo umeshirikisha Wanasayansi watafiti kutoka nchi mbalimbali za
Afrika. Mkutano wa kwanza wa Kimataifa wa PAMCA ulifanyika jijini Nairobi Kenya 2014.   Dk Malecela amesema kuwa mkutano huu unakutanisha wataalam wa...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA PILI WA MWAKA WA KIMATAIFA WA WATAALAM WA KUDHIBITI MBU WAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

MKURUGENZI  Mkuu wa Taasisi ya Utafiti  wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI), Dk. Mwele Malecela akifungua mkutano huo wa pili wa mwaka wa kimataifa wa wataalam wa kudhibiti Mbumbu kwa Nchi zisizofungamana Afrika (PAMCA) ulioanza leo jijini Dar es Salaam.Picha ya pamoja ya washiriki mkutano huo wakiwa na mgeni rasmi.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA TATU WA MADAKTARI WA MIFUPA WAFUNGULIWA DAR

Madaktari bingwa wa mifupa wakijisajili kabla ya kuanza mkutano.   Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dk. Othman Kiloloma (kulia) akifungua mkutano huo.  Daktari Bingwa wa Mifupa wa Taasisi hiyo Dk. Edmund Ndalama (kulia)  akizungumza na madaktari kutoka nchi…

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wafunguliwa mkoani Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma leo mjini Dodoma katika Ukumbi wa St. Gaspar Hotel. Kulia kwake ni baadhi ya waandishi wa habari wakifutilia hotuba yake kwa umakini. Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias B. Kabunduguru akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani