Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkwamba alivyoweza kujikomboa kiuchumi kwa ujasiriamali baharini

Ujasiriamali ni ubunifu wa mtu kulingana na mazingira anayoishi na kufuatia na rasilimali zinazopatikana eneo alipo na kuchangamkia fursa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ujasiriamali ndio njia pekee ya kujikomboa kiuchumi

Mradi wa Kilimo cha Tangawizi wa kikundi cha ujasiriamlai chaushindi kilichopo katika kijiji cha Mkongotema kata ya Mkongotema tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea.
Na Benjamin Sawe.
Katika ulimwengu wa sasa wenye changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira na ushindani wa kila namna ujasiriamali unabaki kuwa dhana pekee inayoweza kuwakomboa vijana kiuchumi na kuwawezesha kutimiza malengo na ndoto walizonazo.
Kutokana na kukithiri kwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu katika ngazi mbali mbali za...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) lahitimisha mafunzo ya wiki nane ya Ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini

IMG_0595

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’i Issa akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini (hawapo pichani) wakati akifunga mafunzo ya wiki nane ya ujasiriamali kwa wanafunzi hao mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  Mafunzo hayo yaliendeshwa chini ya mpango wa Cambridge Development Initiative (CDI) ili kuimarisha mafunzo ya maswala ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini.  CDI ni mpango ulioasisiwa na wanafunzi wa Chuo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujasiriamali nguzo kuu ya kiuchumi duniani

KATIKA maisha ya sasa kipato cha mtu mmoja mmoja kinazingatiwa zaidi kuliko miaka iliyopita. Hii inatokana na uchumi wa dunia umebadilika, kukosekana kwa ajira na  mitaji ya kuanzia biashara imekuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujasiriamali ni nguzo ya kumuinua kijana kiuchumi

KATIKA ulimwengu wa sasa wenye changamoto ya ukosefu wa ajira, dhana ya ujasiriamali inabaki kuwa pekee inayoweza kuwakomboa vijana kiuchumi. Kutokana na kukithiri kwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wafariki kwa kuzama baharini

Watu watatu mkoani Mtwara wamepoteza maisha kufuatia kuzama kwa mtumbwi waliokuwa wakisafiria katika Bahari ya Hindi kutoka Kitongoji cha Mwale kuja Mtwara Mjini kwa ajili ya shughuli zao za kila siku.

 

9 years ago

Michuzi

SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KWA KUTUMIA VIPODOZI VYA LUV TOUCH MANJANO YAENDELEA

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Shaer illusions mama Shekha Nasser  Akiwaeleza jambo washiriki wa Semina ya Ujasiriamlai ( hawapo pichani) Namna ya Kujitangaza kwa Kutumia njia mbalimbali , kuwahudumia  na kuwajali wateja wao. Semina hiyo iliyo chini ya Manjano Foundation ina lengo la kuwajengea uwezo wana wake kujikita kwenye biashara hasa kwa kutumia Vipodozi vya Luv Touch Manjano anayeshuhudia ni Mkufunzi wa Maswala ya Biashara  Ndugu Felix Maganjila. Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Shein: Zanzibar ilipaswa kujikomboa

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar ni nchi iliyo katika Bara la Afrika ambayo ilipaswa kujikomboa na kuwa huru ili kujitawala yenyewe na si kuendelea kubaki chini ya utawala wa kikoloni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chama cha Msingi Kisanga chapania kujikomboa

CHAMA cha Msingi cha Kisanga, Wilaya ya Sikonge, Tabora kimekuwa kikijiendesha kwa mafanikio tangu kilipoanzishwa. Chama hiki chenye namba za usajili 540-TBR kilianzishwa mwaka 1998 kikiwa na wanachama 120; hadi...

 

10 years ago

GPL

TUNU PINDA AHAMASISHA WANAWAKE KUSHIRIKIANA ILI KUJIKOMBOA

Mke wa Waziri Mkuu,  Mama Tunu Pinda,  akiongea na wanawake(hawapo pichani). ...(Katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Mboni Mahita (kulia) na baadhi ya wanawake wengie wakikata keki.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani