Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujasiriamali nguzo kuu ya kiuchumi duniani

KATIKA maisha ya sasa kipato cha mtu mmoja mmoja kinazingatiwa zaidi kuliko miaka iliyopita. Hii inatokana na uchumi wa dunia umebadilika, kukosekana kwa ajira na  mitaji ya kuanzia biashara imekuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ujasiriamali ni nguzo ya kumuinua kijana kiuchumi

KATIKA ulimwengu wa sasa wenye changamoto ya ukosefu wa ajira, dhana ya ujasiriamali inabaki kuwa pekee inayoweza kuwakomboa vijana kiuchumi. Kutokana na kukithiri kwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Kujituma, kujiamini nguzo muhimu katika ujasiriamali

Kazi ni kazi mchagua jembe si mkulima... kikubwa ni kufanya jitihada zozote ili mradi mkono uende kinywaji pata mikeka ya asili iliyo na ubora wa hali ya juu na kuhimilia matumizi mbalimbali kama kulalia, kuanikia unga na mahindi pindi yapooshwa.

 

10 years ago

Michuzi

Ujasiriamali ndio njia pekee ya kujikomboa kiuchumi

Mradi wa Kilimo cha Tangawizi wa kikundi cha ujasiriamlai chaushindi kilichopo katika kijiji cha Mkongotema kata ya Mkongotema tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea.
Na Benjamin Sawe.
Katika ulimwengu wa sasa wenye changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira na ushindani wa kila namna ujasiriamali unabaki kuwa dhana pekee inayoweza kuwakomboa vijana kiuchumi na kuwawezesha kutimiza malengo na ndoto walizonazo.
Kutokana na kukithiri kwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu katika ngazi mbali mbali za...

 

9 years ago

Mwananchi

Mkwamba alivyoweza kujikomboa kiuchumi kwa ujasiriamali baharini

Ujasiriamali ni ubunifu wa mtu kulingana na mazingira anayoishi na kufuatia na rasilimali zinazopatikana eneo alipo na kuchangamkia fursa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) lahitimisha mafunzo ya wiki nane ya Ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini

IMG_0595

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’i Issa akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini (hawapo pichani) wakati akifunga mafunzo ya wiki nane ya ujasiriamali kwa wanafunzi hao mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  Mafunzo hayo yaliendeshwa chini ya mpango wa Cambridge Development Initiative (CDI) ili kuimarisha mafunzo ya maswala ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini.  CDI ni mpango ulioasisiwa na wanafunzi wa Chuo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Shirika la fedha duniani kukabiliana na janga kiuchumi

Benki kuu na mashirika mengine ya fedha wameanza kuchukua hatua za kunusuru uchumi wa dunia kutokana na athari zilizosababishwa na mlipuko wa corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya Wanawake Duniani: Jinsi wanawake wa vijijini wanavyoweza kubadilisha jamii kiuchumi wakiwezeshwa

Maisha yangu yalikuwa magumu. Sikuwa na pesa ya chakula kwa ajili yangu na watoto wangu, sikuwa na pesa hata ya kununua nguo, nilikuwa natembea pekupeku bila viatu.

 

5 years ago

CCM Blog

NCHI 20 ZENYE NGUVU KIUCHUMI WAKUBALIANA KUSAMEHE KWA MUDA MADENI YA NCHI MASIKINI DUNIANI ILI ZIWEZE KUKABILIANA NA CORONA

Wakuu wa nchi 20 zenye nguvu kiuchumi na zinazoinukia kiuchumi duniani, G20 wamekubaliana kusamehe kwa muda madeni ya nchi masikini duniani. 
Mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa G20 wamesema wanaunga mkono kusimamisha kwa muda malipo ya madeni kwa nchi hizo ambazo zinahitaji kuvumiliwa. 
Uamuzi huo umefikiwa jana katika mkutano wao uliofanyika kwa njia ya video. 
Muda huo unaanza Mei Mosi hadi mwishoni mwa mwaka 2020 na deni kuu pamoja na malipo yote ya riba yatasimamishwa. 
Mkurugenzi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wafungwa wa Malawi kushindania tuzo kuu duniani

Bendi moja ya wafungwa kutoka Malawi imefanikiwa kuteuliwa kushindania tuzo kuu za muziki duniani za Grammy.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani