Ujasiriamali ndio njia pekee ya kujikomboa kiuchumi
Mradi wa Kilimo cha Tangawizi wa kikundi cha ujasiriamlai chaushindi kilichopo katika kijiji cha Mkongotema kata ya Mkongotema tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea.
Na Benjamin Sawe.
Katika ulimwengu wa sasa wenye changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira na ushindani wa kila namna ujasiriamali unabaki kuwa dhana pekee inayoweza kuwakomboa vijana kiuchumi na kuwawezesha kutimiza malengo na ndoto walizonazo.
Kutokana na kukithiri kwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu katika ngazi mbali mbali za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Mkwamba alivyoweza kujikomboa kiuchumi kwa ujasiriamali baharini
10 years ago
Bongo521 Nov
Ushirikiano huu wa Afrika Mashariki ndio njia pekee ya kula sahani moja na Wanaijeria!
10 years ago
Bongo Movies22 Jan
Dude akubaliana na bei ya Tshs. 1500 kwa filamu. Asema ndio njia pekee ya kupambana na uharamia.
Masanii wa filamu nchini Dude, amefunguka kwa kusema kuwa kwa kuwa serikali imeshindwa kupambana na wezi wa kazi za wasanii ni bora bei ya Steps Tsh 1500 iyendelee ili kuiyokoa tasinia hiyo.
Dude ameiambia tovuti ya Bongo5 kuwa hakuna njia kwa sasa ya kuweza kupambana na maharamia wa kazi za wasanii zaidi kushusha bei ya filamu.
“Tumeshindwa kuwathibiti pirates, watu wanasambaza kazi, wanauza kazi kwa bei rahisi, leo hii ukienda Buguruni unapata kazi kwa elfu mbili, elfu moja mia tano,...
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Ujasiriamali ni nguzo ya kumuinua kijana kiuchumi
KATIKA ulimwengu wa sasa wenye changamoto ya ukosefu wa ajira, dhana ya ujasiriamali inabaki kuwa pekee inayoweza kuwakomboa vijana kiuchumi. Kutokana na kukithiri kwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu katika...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Ujasiriamali nguzo kuu ya kiuchumi duniani
KATIKA maisha ya sasa kipato cha mtu mmoja mmoja kinazingatiwa zaidi kuliko miaka iliyopita. Hii inatokana na uchumi wa dunia umebadilika, kukosekana kwa ajira na mitaji ya kuanzia biashara imekuwa...
10 years ago
Mwananchi02 Aug
BABIE KABAE : Njia pekee ya kufanikiwa ni kujituma
9 years ago
Mwananchi13 Sep
PETRONILLAH NYAMSISA : Ubunifu ndio msingi katika ujasiriamali
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Watoto wa vigogo ndio wenye hatimiliki pekee CCM?
HIVI sasa kuna hekaheka za uchaguzi ndogo wa ubunge katika majimbo mawili ya uchaguzi; Kalenga (Iringa) na Chalinze (Pwani). Miongoni mwa wanaowania ubunge katika majimbo hayo ni watoto wa vigogo,...
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) lahitimisha mafunzo ya wiki nane ya Ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’i Issa akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini (hawapo pichani) wakati akifunga mafunzo ya wiki nane ya ujasiriamali kwa wanafunzi hao mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yaliendeshwa chini ya mpango wa Cambridge Development Initiative (CDI) ili kuimarisha mafunzo ya maswala ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini. CDI ni mpango ulioasisiwa na wanafunzi wa Chuo...