Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MLOGANZILA YAANZISHA RASMI HUDUMA ZA KUVUNJA MAWE KWENYE FIGO

Pichani ni muonekano wa jiwe kabla halijavunjwa kwa kutumia teknolojia maalumu ya kuvunja mawe.
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Lawrence Museru akielezea kuanzishwa kwa huduma mpya ya matibabu ya kuvunja mawe kwenye figo na mfumo wa mkojo kwa njia ya mawimbi mshituko, kulia ni Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa MNH-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi akifuatiwa na Daktari Bingwa wa Upasuaji Mfumo wa Mkojo Dkt. Hamis Isaka na kushoto ni Dkt. Isaack MlatieWataalam...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MLOGANZILA YAANZA RASMI HUDUMA ZA KUVUNJA MAWE KWENYE FIGO

  Na Lightness Mndeme, MuhimbiliHospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeanza kutoa huduma ya matibabu ya kuvunja mawe kwenye figo na mfumo wa mkojo kwa njia ya mawimbi mshituko kwa kitaalam Extracorporeal shock wave lithotripsy (ESWL).
Kuanzishwa kwa matibabu haya ni mwendelezo wa kutekeleza juhudi za Serikali za kuboresha huduma bobezi za kibingwa nchini ili kuongeza wigo wa huduma ambazo hapo awali zilikuwa hazipatikani hapa nchini kutokana na kutokuwepo kwa wataalamu, vifaa tiba au...

 

9 years ago

GPL

TATIZO LA MAWE KWENYE FIGO (KIDNEY STONES)-2

Nisiku nyingine tena, na ni imani yangu mu wazima wa afya njema wapenzi wasomaji wangu wa makala hii. Wiki iliyopita hatukumaliza kuzungumzia tatizo la mawe kwenye figo (kidney stones), leo tunaendelea na sehemu ya mwisho, fuatana nami. Ulaji wa matunda ni njia mojawapo inayosaidia kuepukana na tatizo hili, matunda kama vile tikiti maji, mananasi na matunda mengine yanayopunguza sumu mwilini yanamchango mkubwa sana katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Wengi wanaishi na mawe kwenye figo - Dk Akbar Zehri

Dar es Salaam. Hospitali ya Aga Khan imezindua kampeni ya kupima ugonjwa wa mawe katika figo, ikiwa ni baada ya kubaini kuwa Watanzania wengi wanaishi na maradhi hayo bila kujitambua.

 

5 years ago

Michuzi

MTAMBO WA KISASA WA KUVUNJA MAWE KWENYE MFUMO WA MKOJO BILA UPASUAJI WATUA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Charles James, Globu ya JamiiHOSPITALI ya Benjamin Mkapa ya jijini Dodoma imezindua huduma ya kwanza ya kisiasa ya kuvunja mawe kwenye mfumo wa mkojo bila kufanya upasuaji.
Huduma hiyo imezinduliwa baada ya kuwasili kwa mtambo wa kisasa unaotumia mionzi katika kufanya huduma hiyo tofauti na awali ambapo wagonjwa walikua wakifanyiwa upasuaji.
Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo, Dkt. Alphonce Chandika amesema huduma hiyo itafanyika kwa mara...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUTIBU SARATANI YA IMRT

TAASISI ya Saratani ya Ocean Road(ORCI) imeanzisha huduma mpya ya kibingwa ya kutibu ugonjwa wa saratani kwa miale ya mionzi kwa njia ya kisasa zaidi ijulikanayo kama Intensity Modulated Radiation Therapy (IMRT), ambapo tiba yake ni ya mionzi ikiwa inatibu eneo mahususi yenye tatizo pekee.

Tanzania inakuwa ya kwanza kutumia huduma hiyo ya IMRT kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki huku kwa Afrika inaingia kuwa nchi ya tatu baada ya Afrika Kusini na Misri.

Kwa mataifa mengine huduma hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

Voda yaanzisha huduma mpya ya lipa kwa M-Pesa

KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua huduma mpya ya M-Pesa ijulikanayo kama 'LIPA KWA M-PESA' ambayo ni jumuishi ya mfumo wa malipo utakaowezesha makampuni, mawakala wa jumla na rejareja na wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia huduma ya M-Pesa.

 

10 years ago

Bongo5

Vodacom Tanzania yaanzisha huduma mpya ya ‘LIPA KWA M-PESA’

Vodacom Tanzania imezindua huduma mpya ya M-PESA ijulikanayo kama “LIPA KWA M-PESA – huduma hii mpya ya kisasa ni jumuishi ya mfumo wa malipo utakao wezesha makampuni, mawakala wa jumla na rejareja na wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia M-PESA. Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa (katikati) akiongea […]

 

9 years ago

Michuzi

Bayport yaanzisha huduma mpya ya bima ya magari, pikipiki na bajaj

Mratibu wa Bima kutoka Bayport Financial Services, Ruth Bura, katikati akizungumza katika uzinduzi wa huduma mpya ya Bima ya Magari, pikipiki na Bajaj kwa kushirikiana na Kampuni ya NIKO Insurance. Kulia ni Meneja Uendelezaji wa Biashara wa NIKO Insurance, Jabir Kigoda na kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Niko, Mannaseh Kawoloka.
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo, imezindua huduma mpya ya bima ya magari,...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM YAANZISHA HUDUMA MAALUM KWA MAWAKALA WA JUMLA NA REJAREJA

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati akizindua huduma ya LIPA KWA M PESA inayowawezesha wasambazaji wa huduma kupokea malipo ya mauzo kwa njia ya M-pesa kutoka kwa wauzaji wajumla. Kampuni ya Chai Bora na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia wasamabzaji wake kampuni ya Mahawi zimkuwa miongoni mwa wasambazaji wa awali kutumia huduma hiyo. Wengine pichani ni Mwakilishi wa Mahawi Enterprises Joseph Mahawi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani