Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUTIBU SARATANI YA IMRT

TAASISI ya Saratani ya Ocean Road(ORCI) imeanzisha huduma mpya ya kibingwa ya kutibu ugonjwa wa saratani kwa miale ya mionzi kwa njia ya kisasa zaidi ijulikanayo kama Intensity Modulated Radiation Therapy (IMRT), ambapo tiba yake ni ya mionzi ikiwa inatibu eneo mahususi yenye tatizo pekee.

Tanzania inakuwa ya kwanza kutumia huduma hiyo ya IMRT kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki huku kwa Afrika inaingia kuwa nchi ya tatu baada ya Afrika Kusini na Misri.

Kwa mataifa mengine huduma hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Vodacom Tanzania yaanzisha huduma mpya ya ‘LIPA KWA M-PESA’

Vodacom Tanzania imezindua huduma mpya ya M-PESA ijulikanayo kama “LIPA KWA M-PESA – huduma hii mpya ya kisasa ni jumuishi ya mfumo wa malipo utakao wezesha makampuni, mawakala wa jumla na rejareja na wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia M-PESA. Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa (katikati) akiongea […]

 

11 years ago

Mwananchi

Hospitali ya Aga Khan sasa kutibu saratani

Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam, imezindua mpango wa matibabu ya saratani kwa njia ya mionzi.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

11 years ago

Habarileo

Kituo cha kutibu saratani chazinduliwa Aga Khan

SERIKALI imesema iko kwenye mchakato wa kuanzisha mfumo wa elektroniki katika hospitali zote nchini, kusimamia utendaji wa Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) na kuhakikisha dawa zote zinawafikia walengwa. Pia, imesema kutokana na kuongezeka tatizo la saratani nchini, inatarajia kuanzisha vituo viwili vya matibabu ya ugonjwa huo katika mikoa ya Mbeya na Kilimanjaro.

 

11 years ago

Dewji Blog

Ukosefu wa huduma za afya za kisasa na uhakika zadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania kufuata huduma hiyo nje ya nchi

CEOsir PIC01

. Ukosefu wa huduma za afya za uhakika na za kisasa zinadaiwa  kuwa sababu kubwa ya watanzania  wengi kufuata huduma hizo nchi za nje.

Hospitali ya Apollo ilikuwa moja ya hospitali za mwanzo kabisa katika bara la Asia, na duniani kwa ujumla kuleta huduma zote za kiafya chini ya paa moja. Na kwa wakati huu, mpango huo kabambe umeifanya hospitali hiyo kufanikiwa katika Nyanja zote za matibabu.

Dr. Prathap C Reddy, muasisi wa huduma za kiafya za kisasa nchini india, alianzisha hospitali ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Saratani sio ugonjwa wa kisasa

Watafiti nchini Uingereza wamegundua Saratani katika mifupa ya kijana mmoja aliyekuwa anaishi nchini Misri miaka 3000 iliyopita

 

11 years ago

Habarileo

Voda yaanzisha huduma mpya ya lipa kwa M-Pesa

KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua huduma mpya ya M-Pesa ijulikanayo kama 'LIPA KWA M-PESA' ambayo ni jumuishi ya mfumo wa malipo utakaowezesha makampuni, mawakala wa jumla na rejareja na wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia huduma ya M-Pesa.

 

10 years ago

Michuzi

Bayport yaanzisha huduma mpya ya bima ya magari, pikipiki na bajaj

Mratibu wa Bima kutoka Bayport Financial Services, Ruth Bura, katikati akizungumza katika uzinduzi wa huduma mpya ya Bima ya Magari, pikipiki na Bajaj kwa kushirikiana na Kampuni ya NIKO Insurance. Kulia ni Meneja Uendelezaji wa Biashara wa NIKO Insurance, Jabir Kigoda na kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Niko, Mannaseh Kawoloka.
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo, imezindua huduma mpya ya bima ya magari,...

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM YAANZISHA HUDUMA MAALUM KWA MAWAKALA WA JUMLA NA REJAREJA

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati akizindua huduma ya LIPA KWA M PESA inayowawezesha wasambazaji wa huduma kupokea malipo ya mauzo kwa njia ya M-pesa kutoka kwa wauzaji wajumla. Kampuni ya Chai Bora na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia wasamabzaji wake kampuni ya Mahawi zimkuwa miongoni mwa wasambazaji wa awali kutumia huduma hiyo. Wengine pichani ni Mwakilishi wa Mahawi Enterprises Joseph Mahawi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani