Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MMILIKI WA MATTEI LODGE AFA AJALINI DODOMA

Gari alilokuwemo Mattei likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali. Wananchi wakiwa eneo la tukio. MMILIKI wa Mattei Lodge iliyopo Area D mkoani Dodoma aliyefahamika kwa jina moja tu la Mattei amefariki dunia katika ajali ya gari jana Jumapili eneo la Pandembili, Kongwa. Chanzo cha ajali…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari afa ajalini

DAKTARI aliyefahamika kwa jina moja la Petu wa Hospitali ya Kisarawe, amefariki dunia juzi baada ya kugongwa na gari, eneo la Pugu-Kinyamwezi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dereva wa bodaboda afa ajalini

DEREVA wa pikipiki, maarufi kama bodaboda, Abdul Mikidadi (33), mkazi wa Kunduchi, Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kumgonga mbwa na kupoteza uelekeo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni,...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva lori la mafuta afa ajalini

DEREVA wa gari la mafuta Ally Ngoma (62) amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na basi dogo la abiria.

 

10 years ago

Mwananchi

Mhadhiri raia wa Ujerumani afa ajalini

Mhadhiri wa kujitolea wa Chuo Kikuu cha Iringa (UoI) Dorosea Lehmani (64) raia wa Ujerumani amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea juzi mkoani Iringa.

 

10 years ago

Habarileo

Katibu UVCCM Arumeru afa ajalini

SIKU chache baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru kupoteza watumishi kadhaa wa Idara ya Elimu akiwemo Ofisa Elimu wake katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria na lori la mafuta, Arumeru imepata msiba mwingine baada ya jana Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wilayani humo kufa ajalini.

 

11 years ago

Habarileo

Padre wa Kanisa Katoliki afa ajalini

WATU wawili, akiwemo Padre Martin Kapufi (37) wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda mkoani Katavi, wamekufa katika ajali ya gari, walilokuwa wakisafiria, kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kamsisi Barabara ya Inyonga -Tabora.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi 5 wafa ajalini Dodoma

JESHI la Polisi mkoani Dodoma limepata pigo baada ya askari wake watano kufa kwenye ajali ya gari eneo la Mitumba, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma. Akizungumzia ajali hiyo iliyotokea...

 

10 years ago

Vijimambo

Msiba wa Dada Leticia Mattei Rwechungura

Tunasikitika kutangaza kifo cha ghafla cha dada yetu mpendwa Leticia Mattei Rwechungura kilichotokea hapa Ujerumani tarehe 06.01.2015.Mazishi yatafanyika hapa Ujerumani Königswinter, karibu na mji wa Bonn tarehe 24.01.2015. Misa itaanza saa tano asubuhi (11:00 a.m.), katika Kanisa la St. Michael Niederdollendorf, Petersbergerstr. 14, 53639 Königswinter.
Dada Leticia Mattei alikuwa mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa huko South Sudan (UNMIS) - United Nations Mission in Südan, Eastern Equatoria...

 

10 years ago

Vijimambo

Msiba wa Mama Leticia Mattei Rwechungura

Tunasikitika kutangaza kifo cha ghafla cha  dada yetu mpendwa Leticia Mattei Rwechungura kilichotokea hapa Ujerumani tarehe 06.01.2015. Mazishi yatafanyika hapa Ujerumani Königswinter, karibu na mji wa Bonn tarehe 24.01.2015. Misa itaanza saa tano asubuhi (11:00 a.m.), katika Kanisa la St. Michael Niederdollendorf, Petersbergerstr. 14, 53639 Königswinter.
Dada Leticia Mattei alikuwa mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa huko South Sudan (UNMIS) - United Nations Mission in Südan, Eastern Equatoria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani