Mmiliki wa Sowers African apigwa risasi Mlimani City
Dar es Salaam. Siku chache baada ya kusambaa kwa taarifa juu ya uwepo wa majambazi wanaotumia pikipiki katika maeneo ya Mlimani City na Millennium Tower, mfanyabiashara mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi siku ya Ijumaa katika eneo la Mlimani City.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Oct
Mbwa ampiga risasi mmiliki wake !
11 years ago
Mwananchi29 Aug
Apigwa risasi machimboni
11 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Jambazi apigwa risasi na wenzake
MTU mmoja anayeshukiwa kuwa ni jambazi sugu, Benard Aaron (47) ‘Chinga’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi na majambazi wenzake. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 8:00...
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Mwanaharakati apigwa risasi Burundi
11 years ago
GPL
MC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9
10 years ago
GPL
MFANYAKAZI WA MWANANCHI APIGWA RISASI
11 years ago
GPL
MKE WA KIGOGO APIGWA RISASI KWAPANI
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Mkereketwa apigwa risasi na kuuawa Libya
9 years ago
StarTV29 Dec
Mwanasoka Alfredo apigwa risasi na kufariki
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya El Salvador Alfredo Pacheco ameuawa kwa kupigwa risasi.
Taarifa zilizotolewa na serikali za El Salvador zinabainisha kuwa Pacheco amekutwa na mkasa huo baada ya mtu mmoja kumfyatulia risasi akiwa kwenye kituo cha mafuta katika mji wa Santa Ana, ambao upo umbali wa kilometa 76 Magharibi mwa mji wa San Salvador.
Uongozi wa jeshi la Polisi umesema watu kadhaa wamejeruhiwa katika shambulizi hilo dhidi ya Mlinzi huyo wa zamani wa El Salvador ambaye...