Mnaacha kujadili pointi za katiba mnajadili umbea?
MIE nilishawaambia vya kushangaza viko vingi na ukiamua kuvishangaa vyote midomo itaachama kwa namna unavyoshangaa. Enzi hizo walikuwa wanasema nenda Feri ukashangae meli inaelea lakini sindano inazama! Miye nawaambia ukitaka...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 May
Wawakilishi wazuiwa kujadili Katiba
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amepiga marufuku mijadala ya Bunge la Katiba, kuzungumzwa katika vikao vya Baraza la Wawakilishi.
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Tahliso kujadili rasimu ya Katiba
JUMUIYA ya Wanafunzi wa Vyuo vya Juu nchini (Tahliso) inatarajia kufanya mkutano mwishoni mwa Aprili jijini Dar es Salaam kujadili mambo mbalimbali ikiwemo masuala yahusuyo rasimu ya pili ya Katiba....
10 years ago
Vijimambo03 Nov
PICHA ZA MDAHALO WA KUJADILI KATIBA ULIVYOVUNJIKA
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Watanzania tumewatuma kujadili Katiba si posho
NIMESHAWISHIKA kuandika mtazamo huu kutokana na kushindwa kuwaelewa watu wanaoitwa wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba. Sina shaka na Rais Kikwete kuwateua wajumbe hao japo kwa matendo yao nalazimika kuwa...
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Rasimu ya Pili ya Katiba hakuna cha kujadili
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Malezi ya hovyo ya Makonda yasituzuie kujadili Katiba
BIBLIA Takatifu inasema kuwa; “Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye makwazo hayo yaja kwa sababu yake; ni afadhali akafungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutoswa baharini,...
10 years ago
Habarileo14 Oct
Kamati Kuu Chadema kujadili Katiba, uchaguzi
SIKU chache baada ya kukamilika kwa mchakato wa kuandika Katiba Inayopendekezwa, Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kukutana kwa siku mbili kuanzia leo jijini Dar es Salaam kujadili pamoja na mambo mengine, mchakato wa mabadiliko ya Katiba.
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Jazba iepukwe katika kujadili Rasimu ya Katiba
11 years ago
Mwananchi01 Jun
‘Bado tuna fursa ya kujadili, kupata Katiba tuliyokusudia’