Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnaotoa mimba acheni, nawajua- Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaonya madaktari vinara wa Hospitali ya Rufaa ya Songea ambao wanasifika kwa kufanya biashara ya kutoa mimba wanawake na wanafunzi kuacha tabia hiyo mara moja la sivyo atawafukuza kazi na kuwafunga jela.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: WENYEVITI WA VIJIJI ACHENI BIASHARA YA ARDHI


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya tabia ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji wanaofanya biashara ya ardhi waache na badala yake amewataka wajihusishe katika kutekeleza majukumu yao ya msingi.

Ameyasema leo(Jumatano, Machi 4, 2020) wakati akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Bokwa wilayani Kilindi akiwa kwenye ziara yake ya kikazi mkoani Tanga.

Waziri Mkuu amesema tabia ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji kujihusisha na biashara ya uuzaji wa...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

10 years ago

GPL

Sserunkuma: Yanga nawajua

Mshambuliaji wa Simba, Mganda, Danny Sserunkuma. Omary Mdose na Ibrahim Mussa
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mganda, Danny Sserunkuma, amewatoa wasiwasi wapenzi wa timu hiyo kwa kuwaambia wawe na imani na timu yao kwani sasa hivi ipo kamili. Sserunkuma aliyesajiliwa na Simba akitokea Gor Mahia inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya, alitua nchini Jumapili ya wiki iliyopita na ameanza mazoezi na kikosi hicho juzi Jumatatu, wakiwa visiwani...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE

 Waziri  Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mke wa Rais Mstaafu wa  Awamu ya Nnne , Mama Salma Kikwete katika hafla fupi  iliyoyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjiniDodoma  baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Rais Mstaafu wa  Zanzibar, Aman Abeid Karume katika hafla fupi  iliyofuatia  kuzinduliwa kwa Bunge na Rais John Magufuli kwenye  mjini Dodoma Novemba 20, 2015. Hafla hiyo ilifanyika kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho


Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa   4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja  baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Wanaonipenda Kweli, Wanafiki na Wale Baby Baby NAWAJUA

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni, bila shaka na wewe ANAKUJUA.

Mnaonipa Moyo na Kunipenda kiukweli....NAWAJUA
Wakuongea Nao Ya Moyoni....NAWAJUA
Wale wa kuni baby baby on IG kumbe Hakuna lolote....NAWAJUA
Wale mnajifanya shoulders to cry on ili mpate kunijua kirahisi...NAWAJUA ila SIWEZI KUWAPA HIYO CHANCE AISEEE...I'm Soleeeeee
Wale tunaochekeana kinafki...NAWAJUA I hope MNANIJUA PIA yani TUNAJUANA
Wale Waukweli kbsa ....NAWAJUA

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA

rua1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya shati la asili la  Wamwera  na Mzee Saidi Issa Hanga katika mkutano wa hadhara aliouhutubia  mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. rua2Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wazee wa Ruangwa kabla ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. rua3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha na kufurahia  silaha  za asili alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani