MNH: Tumepandisha gharama kuilipa MSD
 Uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) umesema umepandisha gharama za kitanda na chakula ili kuongeza mapato yatakayosaidia kulipa deni la Bohari Kuu ya Dawa (MSD).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema21 Oct
Gharama hii ya mabadiliko Watanzania hawapaswi kuilipa
MTU yeyote anapoenda dukani au sokoni kununua kitu fulani huwa ameweka bajeti ya kununulia kitu h
Lula wa Ndali Mwananzela
11 years ago
Habarileo12 Dec
Uganda yaanza kuilipa Tanzania
SERIKALI ya Uganda tayari imeshaanza kulipa deni lake kwa Tanzania la dola za Marekani milioni 9.6 kati ya dola za Marekani milioni 18.4 ikiwa ni fidia kwa Tanzania kwa mchango wake katika kumuondoa Idd Amin Dada Uganda mwaka 1978.
11 years ago
Habarileo16 Dec
Serikali kuilipa PSPF bilioni 50/-
KATIKA mwaka huu wa fedha serikali inatarajia kuulipa Mfuko wa Penseni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) jumla ya Sh bilioni 50, huku ikiwa imelipa Sh bilioni 60, mwaka jana. Malipo hayo yanatokana na deni la serikali katika mfuko huo.
11 years ago
Habarileo13 Feb
SMZ yajipanga kuilipa Tanesco
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeanza kuweka mikakati ya kuhakikisha deni la umeme kutoka Shirika la Umeme (Tanesco), linalipwa kwa awamu tofauti ili kuepuka huduma hiyo kusitishwa.
9 years ago
Habarileo19 Aug
Mapunda akubali kuilipa Simba
KIPA Ivo Mapunda amesema atarudisha fedha za Simba lakini anahitaji apewe muda.
11 years ago
Tanzania Daima22 May
LHRC yatakiwa kuilipa Dowans
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kinatakiwa kulipa gharama sh bilioni 2.8 kwa ajili ya kufidia gharama za uendeshaji kesi iliyofungua dhidi ya kampuni ya Dowans. Akizungumza na...
9 years ago
TheCitizen03 Dec
MNH to decongest wards
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
JKT MLALE YATAKIWA KUILIPA LYON
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Kumbe Ngasa alikopa kuilipa Simba!
WANACHAMA wa klabu ya Yanga wameuomba uongozi wao wamchangie kulipa deni mshambuliaji wao, Mrisho Ngasa, baada ya kukopa katika moja ya benki hapa nchini kuwalipa Simba. Ngasa alikopa sh milioni...