Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyika: Wanaoumizwa na bei ya umeme leteni maoni

WAZIRI Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika, amewataka wananchi wanaokerwa na bei mpya ya ongezeko la umeme kumtumia maoni yao ili ayawasilishe bungeni. Mbali na kutaka maoni ya wananchi,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Viongozi wapya wa Simba leteni maendeleo

>Itakumbukwa Mei 9, 2010, klabu ya Simba ilipata viongozi wake wake waliokuwa chini ya uenyekiti wa Ismail Aden Rage na ambao wamemaliza muda wao na jana viongozi wapya walitarajiwa kuingia madarakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika kuivaa Tanesco gharama za umeme

Mbunge wa Ubungo ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika ametoa wito kwa wananchi walioathirika na kupanda kwa bei ya umeme kutoa mapendekezo na kueleza athari wanazozipata.

 

11 years ago

Mwananchi

Kupanda kwa umeme, Mnyika azidi kumng’ang’ania Profesa Muhongo

Mbunge wa Ubungo (Chadema) na Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika amezidi kumng’ang’ania Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, safari hii akimtaka waziri huyo ajieleze mbele ya Rais Jakaya Kikwete sababu za kupanda kwa gharama za umeme.

 

11 years ago

Habarileo

Bei ya umeme juu

Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna MasebuWATANZANIA wataanza Mwaka Mpya 2014 kwa maumivu, baada ya Shirika la Umeme (TANESCO) kuidhinishiwa kupandisha bei za umeme kuanzia Januari mosi.

 

10 years ago

Habarileo

Umeme washuka bei

Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix NgamlagosiMAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imeshusha kidogo bei ya umeme kuanzia Machi Mosi mwaka huu, huku ikisisitiza kwamba bei hiyo itaendelea kupungua zaidi mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam utakapoanza kazi.

 

10 years ago

Habarileo

Umeme kushuka bei

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneBAADA ya kushuka kwa bei ya mafuta nchini, wakati wowote kuanzia leo Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) linatarajiwa kutangaza bei mpya za umeme ambazo zitakuwa na unafuu kwa wananchi.

 

10 years ago

Mtanzania

Bei ya umeme yashuka

Pg 3Jonas Mushi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushusha bei ya nishati ya umeme kwa watumiaji wakubwa wa majumbani wanaotumia zaidi ya uniti 75 kwa mwezi pamoja na viwanda vikubwa na vya kati.
Tangazo la kushushwa kwa bei ya nishati ya umeme limetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felex Ngamlagosi, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyikia jana ofisini kwake, Dar es Salaam.
Alisema punguzo hilo limezingatia gharama za...

 

10 years ago

Habarileo

Bei ya umeme kushuka

SERIKALI imesema inatarajia kuondoa mitambo yote inayotumia mafuta katika kuzalisha umeme ifikapo Januari mwakani. Hali hiyo itaokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka, lakini pia kuwapa Watanzania umeme wa uhakika na wa gharama nafuu.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bei ya umeme kuanza kushuka


Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Pan African Power Solutions (PAP) imesema bei ya umeme inaweza kuanza kushuka kutokana na ongezeko la umeme katika gridi ya taifa.
Hayo yalibainishwa Dar es Salaam, jana, na Mwanasheria Mkuu wa PAP, Joseph Makandege alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa kampuni hiyo.
PAP ilianza kuzalisha umeme baada ya kununua mitambo ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
Hali hiyo inafuatia PAP kuzalisha megawati 100...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani