Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOAT waunda kamati maalumu

DK MENGINa Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAMILIKI wa vyombo vya habari nchini (MOAT) wameunda kamati ndogo ambayo itakwenda Dodoma kuonana na wabunge waweze kupinga muswada wa vyombo vya habari ambao una vipengele 10 vinavyodaiwa kukandamiza uhuru wa habari nchini.
Muswada huo ambao unatarajiwa kuwasilishwa hivi karibuni una vipengele hivyo ambavyo vikipitishwa vinaweza kuwafanya wanahabari kushindwa kutimiza majukumu yao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti Dar es Salaam jana, wamiliki hao...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake waunda kamati mfumo wa 50/50

WABUNGE wanawake nchini, wameazimia kuunda kamati ndogo ya wataalamu itakayowashirikisha wanawake kutoka katika mabunge ya Kenya, Rwanda na Uganda ili kutafuta mfumo sahihi wa uwakilishi wa uwiano wa asilimia 50...

 

9 years ago

Habarileo

Mwakyembe, Kitwanga waunda kamati Magereza

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe na Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, wameunda kamati ndogo ya wataalamu kwa ajili ya kutatua changamoto zilizopo magerezani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hofu ya ebola Mtwara waunda kamati

KUTOKANA na ugonjwa wa Ebola kuenea katika baadhi ya nchi ikiwemo jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), hospitali ya Rufaa ya Ligula mjini hapa, imeunda timu ya usimamizi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wa afya waunda kamati bungeni

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambao ni wataalamu wa afya, wameunda kamati ndogo ya watu saba ambayo itakuwa na jukumu la kupitia Rasimu ya Katiba na kuona jinsi gani afya imeguswa katika rasimu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Lipualipua Kamati za Bunge Maalumu

>Kamati za Bunge Maalumu la Katiba zilizoanza vikao vyake juzi mjini Dodoma, zimejikuta zikifanya kazi kwa kulipua kutokana na uchache wa muda uliotengwa, ikilinganishwa na ukubwa wa kazi ya uchambuzi wa ibara za rasimu ya Katiba hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu yatakayovunja Muungano

Wapenzi wasomaji, wiki iliyopita makala hii ya uchambuzi kuhusu Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu haikutoka kutokana na sababu za kiufundi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu yanayodhoofisha Muungano — 2

>Makala haya ni mwendelezo wa makala yaliyoanza wiki iliyopita. Madhumuni ya makala hizi ni kupitia kamati zote za Bunge Maalumu kiuchambuzi ili kubaini mapendekezo ambayo yanadhoofisha Muungano. Aidha, uchambuzi huu utawawezesha wadau wote katika mchakato wa kuandika Katiba Mpya ya Tanzania ikiwamo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa na utambuzi wa kina kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Meghji alisajiliwa Bara kamati Bunge Maalumu

Utata wa kupiga kura unaomhusu Mjumbe wa lilikokuwa Bunge Maalumu, Zakia Meghji umechukua sura mpya baada ya kubainika kwamba alipiga kura upande wa Tanzania Bara tofauti na ilivyokuwa wakati wa kupiga kura ya uamuzi wa kupitisha Katiba Inayopendekezwa ambako alipiga kura upande wa Zanzibar.

 

10 years ago

GPL

AMINA MWIDAU (VITI MAALUMU CUF) NDIYE MWENYEKITI MPYA WA KAMATI YA PAC

Mwenyekiti mpya wa Kamati ya PAC, Amina Mwidau (Viti Maalumu Mkoa wa Tanga CUF). MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Tanga, Amina Mwidau (CUF) ndiye Mwenyekiti mpya wa Kamati ya PAC baada ya aliyekuwa mwenyekiti wake, Zitto Kabwe kung'atuka kwenye nafasi yake ya ubunge. Kupitia akaunti yake ya Facebook, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema) na Mwenyekiti wa Kamati ya PAC ambaye jana alijiunga rasmi na Chama cha ACT-Tanzania,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani