Wanawake waunda kamati mfumo wa 50/50
WABUNGE wanawake nchini, wameazimia kuunda kamati ndogo ya wataalamu itakayowashirikisha wanawake kutoka katika mabunge ya Kenya, Rwanda na Uganda ili kutafuta mfumo sahihi wa uwakilishi wa uwiano wa asilimia 50...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania27 May
MOAT waunda kamati maalumu
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAMILIKI wa vyombo vya habari nchini (MOAT) wameunda kamati ndogo ambayo itakwenda Dodoma kuonana na wabunge waweze kupinga muswada wa vyombo vya habari ambao una vipengele 10 vinavyodaiwa kukandamiza uhuru wa habari nchini.
Muswada huo ambao unatarajiwa kuwasilishwa hivi karibuni una vipengele hivyo ambavyo vikipitishwa vinaweza kuwafanya wanahabari kushindwa kutimiza majukumu yao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti Dar es Salaam jana, wamiliki hao...
11 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Hofu ya ebola Mtwara waunda kamati
KUTOKANA na ugonjwa wa Ebola kuenea katika baadhi ya nchi ikiwemo jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), hospitali ya Rufaa ya Ligula mjini hapa, imeunda timu ya usimamizi...
9 years ago
Habarileo20 Dec
Mwakyembe, Kitwanga waunda kamati Magereza
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe na Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, wameunda kamati ndogo ya wataalamu kwa ajili ya kutatua changamoto zilizopo magerezani.
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Wadau wa afya waunda kamati bungeni
11 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Mfumo dume bado unatawala wanawake
MFUMO dume ulioota mizizi katika jamii kwa kisingizio cha mila, desturi na dini unachangia kwa kiasi kikubwa katika unyanyasaji wa mtoto wa kike na mwanamke nchini. Tangu enzi za mababu,...
10 years ago
GPL
MTI WA MLONGE NA MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAWAKE-3
10 years ago
GPL
MTI WA MLONGE NA MATATIZO YA MFUMO WA UZAZI KWA WANAWAKE