Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau wa afya waunda kamati bungeni

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambao ni wataalamu wa afya, wameunda kamati ndogo ya watu saba ambayo itakuwa na jukumu la kupitia Rasimu ya Katiba na kuona jinsi gani afya imeguswa katika rasimu hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

MOAT waunda kamati maalumu

DK MENGINa Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAMILIKI wa vyombo vya habari nchini (MOAT) wameunda kamati ndogo ambayo itakwenda Dodoma kuonana na wabunge waweze kupinga muswada wa vyombo vya habari ambao una vipengele 10 vinavyodaiwa kukandamiza uhuru wa habari nchini.
Muswada huo ambao unatarajiwa kuwasilishwa hivi karibuni una vipengele hivyo ambavyo vikipitishwa vinaweza kuwafanya wanahabari kushindwa kutimiza majukumu yao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti Dar es Salaam jana, wamiliki hao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake waunda kamati mfumo wa 50/50

WABUNGE wanawake nchini, wameazimia kuunda kamati ndogo ya wataalamu itakayowashirikisha wanawake kutoka katika mabunge ya Kenya, Rwanda na Uganda ili kutafuta mfumo sahihi wa uwakilishi wa uwiano wa asilimia 50...

 

9 years ago

Habarileo

Mwakyembe, Kitwanga waunda kamati Magereza

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe na Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, wameunda kamati ndogo ya wataalamu kwa ajili ya kutatua changamoto zilizopo magerezani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hofu ya ebola Mtwara waunda kamati

KUTOKANA na ugonjwa wa Ebola kuenea katika baadhi ya nchi ikiwemo jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), hospitali ya Rufaa ya Ligula mjini hapa, imeunda timu ya usimamizi...

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KAMATI ZA AFYA ZA SHEHIYA WAPATIWA MAFUNZO JUU YA MIKAKATI YA AFYA YA JAMII ZANZIBAR

MKUU wa Wilaya wa Magharibi, Hassan Mussa Takrima amewataka watendaji wa wizara ya afya kushirikiana na masheha katika kuelimisha wananchi juu ya utekelezaji wa mpango wa afya kwa jamii ili uweze kutatua changamoto za kifya nchini.
Amesema kuwa endapo mpango huo ukihamasishwa kwa jamii utaweza kuwasaidia wananchi katika kujikwamua na matatizo ya kujikinga na maradhi mbalimbali yanayojitokeza katika maeneo yao .
Akizungungumza katika ufunguzi wa mafunzo juu ya mkakati wa afya ya jamii...

 

10 years ago

Michuzi

Wadau wa Sekta ya Afya kutoka Tanzania Washiriki Maonyesho ya Sekta ya Afya jijini Istanbul -Uturuki. Dec 2014.

Washiriki Kumi na Wanne (14) kutoka Tanzania wajumuika na wenzao 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika katika Maonyesho ya Pili Sekta ya Afya chini Uturuki. Maonyesho hayo hufanyika kila mwaka na kwa lengo la kuendeleza mahusiano na ushirikiano katika kuboresha Sekta ya Afya kwa nchi husika. Maonyesho ya Mwaka huu yalikuwa na washiriki kutoka nchi 60 duniani kote.  Kwa upande wa Afrika mkutano huu ulioratibiwa na kusimamiwa na kampuni ya kuendeleza mahusiano ya maendeleo na biashara kati ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau wapania kukwamisha Muswada wa Habari bungeni

>Jopo la wadau wa habari kutoka asasi, taasisi na vyombo vya habari nchini, limepanga kuwatumia wabunge kuwashawishi wakatae kupitisha muswada wa sheria ya habari uliopangwa kuwasilishwa bungeni kwa hati ya dharura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani