Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MORANI WAGOMA KABURI KUFUKULIWA

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha Wananchi zaidi ya 3,000 wakiwemo Morani waliokuwa na silaha za jadi kama marungu, sime na fimbo katika Kijiji cha Kiushin wilayani Arumeru wamejikusanya kukabili amri ya Mahakama ya Ardhi na Nyumba ya kutaka kufukuliwa kwa kuburi alilozikwa mkazi mwenzao wa eneo hilo. Morani wenye silaha za jadi... yaani marungu, sime na fimbo wakiandamana kuzuia Mahakama kufukua kaburi. Aidha, wananchi hao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KABURI LA BALLALI KUFUKULIWA

HII mpya! Kuna madai kwamba, kaburi la aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu Daudi Timoth Ballali lililopo Makaburi ya Gate of Haeven (Geti la Mbinguni) Eneo Na. 6, Ploti Na. 241, Safu Na. 17 huko Maryland nchini Marekani lipo mbioni kufukuliwa ili kuwezesha vipimo vya vinasaba (DNA) kutumika kwa lengo la kubaini ukweli wa kifo chake, Ijumaa limeelezwa. Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),...

 

10 years ago

GPL

MAHAKAMA YAAMURU KABURI LA MUME KUFUKULIWA

Wachimabji wa Kijiji cha Mandaka wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro wakifukua kaburi la Marehemu Stephen Assey  jioni ya jana kwa amri ya mahakama. Msalaba uliokuwepo kwenye kaburi hilo ukiwa pembeni.…

 

10 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzzzz......Mahakama yaamuru kaburi la mume kufukuliwa kwa pingamizi la mke mkubwa dhidi ya mdogo kijiji cha mandaka wilaya ya moshi vijijini

Wachimabji wa Kijiji cha Mandaka wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro wakifukua Kaburi la Marehemu Stephen Assey  jioni hii kwa amri ya mahakama.
Na Dixon Busagaga wa Globu
 ya Jamii Kanda ya Kaskazini

Uamuzi wa kufukuliwa kwa kaburi hilo umefikiwa baada ya mke anayedaiwa kuwa ni wa ndoa wa marehemu Stephen Assey, Bi. Lucy Laurant kwenda mahakamani kuweka zuio la kuzikwa kwa marehemu katika eneo ilipo nyumba aliyokuwa akiishi na mke mdogo aliyefahamika kwa jina la Fortinata...

 

10 years ago

Daily News

Morani cane woman for scolding son


Morani cane woman for scolding son
Daily News
A MAASAI woman Naserian Pereiyoo (32) in critical condition after being beaten by a group of men, commonly referred to as 'Morani', as punhment for scolding her son who had just undergone traditional initiation. It reported that Pereiyoo scolded her son, ...

 

10 years ago

BBCSwahili

B Fasso:Mwili wa Sankara kufukuliwa

Serikali Burkina Fasso imeagiza kufukuliwa kwa mwili wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Thomas Sankara .

 

10 years ago

Tanzania Daima

Korti yaamuru maiti kufukuliwa

MGOGORO wa kugombea mwili wa marehemu, Stephen Assei (52) umechukua sura mpya baada ya askari polisi wenye silaha za moto wakiwemo askari kanzu kusimamia zoezi la ufukuaji wa kaburi na...

 

10 years ago

BBCSwahili

B.Faso:mwili wa Thomas Sankara kufukuliwa

Ripoti za mahakama nchini Burkina Faso zinasema kuwa mwili unaokisiwa kuwa wa Thomas Sankara utafukuliwa leo

 

10 years ago

StarTV

Mwili wa Thomas Sankara kufukuliwa Burkina Faso


Mwili wa Thomas Sankara kufukuliwa leo Burkina Faso

Ripoti za mahakama nchini Burkina Faso zinasema kuwa mwili ambao unakisiwa kuwa wa raisi wa zamani aliyeuawa Thomas Sankara utafukuliwa hii leo katika jaribio la kutaka kubainisha ikiwa ni wake.

Familia na marafiki wa rais Sankara wamekuwa na shauku iwapo mabaki hayo ni yake.

Bwana Sankara aliuawa wakati wa mapinduzi mwaka 1987.

Sankara alichukuwa uongozi baada ya mapinduzi ya mwaka wa 1983.

Sankara alipinduliwa na Blaise Compaore ambaye...

 

11 years ago

GPL

PENNY: NIMECHUNGULIA KABURI

MTANGAZAJI wa maarufu wa runinga Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa ugonjwa uliompiga juzikati ulikuwa ‘serious’ kiasi cha kuona ni Mungu tu amemwokoa. Mtangazaji wa maarufu wa runinga Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’ akiwa hoi hospitali akisumbuliwa na ugonjwa wa Athma. Akichezesha taya na paparazi wetu, Penny alisema anamshukuru Mungu anaendelea vizuri kwani alikuwa na hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani