Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KABURI LA BALLALI KUFUKULIWA

HII mpya! Kuna madai kwamba, kaburi la aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu Daudi Timoth Ballali lililopo Makaburi ya Gate of Haeven (Geti la Mbinguni) Eneo Na. 6, Ploti Na. 241, Safu Na. 17 huko Maryland nchini Marekani lipo mbioni kufukuliwa ili kuwezesha vipimo vya vinasaba (DNA) kutumika kwa lengo la kubaini ukweli wa kifo chake, Ijumaa limeelezwa. Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MORANI WAGOMA KABURI KUFUKULIWA

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha Wananchi zaidi ya 3,000 wakiwemo Morani waliokuwa na silaha za jadi kama marungu, sime na fimbo katika Kijiji cha Kiushin wilayani Arumeru wamejikusanya kukabili amri ya Mahakama ya Ardhi na Nyumba ya kutaka kufukuliwa kwa kuburi alilozikwa mkazi mwenzao wa eneo hilo. Morani wenye silaha za jadi... yaani marungu, sime na fimbo wakiandamana kuzuia Mahakama kufukua kaburi. Aidha, wananchi hao...

 

10 years ago

GPL

MAHAKAMA YAAMURU KABURI LA MUME KUFUKULIWA

Wachimabji wa Kijiji cha Mandaka wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro wakifukua kaburi la Marehemu Stephen Assey  jioni ya jana kwa amri ya mahakama. Msalaba uliokuwepo kwenye kaburi hilo ukiwa pembeni.…

 

10 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzzzz......Mahakama yaamuru kaburi la mume kufukuliwa kwa pingamizi la mke mkubwa dhidi ya mdogo kijiji cha mandaka wilaya ya moshi vijijini

Wachimabji wa Kijiji cha Mandaka wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro wakifukua Kaburi la Marehemu Stephen Assey  jioni hii kwa amri ya mahakama.
Na Dixon Busagaga wa Globu
 ya Jamii Kanda ya Kaskazini

Uamuzi wa kufukuliwa kwa kaburi hilo umefikiwa baada ya mke anayedaiwa kuwa ni wa ndoa wa marehemu Stephen Assey, Bi. Lucy Laurant kwenda mahakamani kuweka zuio la kuzikwa kwa marehemu katika eneo ilipo nyumba aliyokuwa akiishi na mke mdogo aliyefahamika kwa jina la Fortinata...

 

11 years ago

Mwananchi

KIFO: Mwisho wa Ballali

>Mkazi wa Kijiji la Luganga, Wilaya ya Mufindi, Iringa, alikozaliwa Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali analazimika kutumia saa 32 kufika katika kaburi la kiongozi huyo lililopo eneo la Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

 

10 years ago

BBCSwahili

B Fasso:Mwili wa Sankara kufukuliwa

Serikali Burkina Fasso imeagiza kufukuliwa kwa mwili wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Thomas Sankara .

 

11 years ago

Mwananchi

Gharama kubwa alikozikwa Ballali

Eneo alilozikwa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Daudi Ballali katika makaburi ya Gate of Heaven, Maryland nchini Marekani liliigharimu familia yake kiasi cha Dola 4,810 za Kimarekani (sawa na zaidi ya Sh8 milioni).

 

11 years ago

Mwananchi

Nini kilimuua Gavana Ballali?

Wakati kukiwa na uthibitisho kwamba Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali alifariki dunia na kuzikwa miaka sita iliyopita, kitendawili kilichobaki ni sababu za ugonjwa na baadaye kifo chake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Korti yaamuru maiti kufukuliwa

MGOGORO wa kugombea mwili wa marehemu, Stephen Assei (52) umechukua sura mpya baada ya askari polisi wenye silaha za moto wakiwemo askari kanzu kusimamia zoezi la ufukuaji wa kaburi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Marekani inathibitisha kifo cha Ballali

Taarifa za Idara za Serikali ya Marekani zinathibitisha kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali alifariki dunia akiwa Washington DC, akiwa na umri wa miaka 66.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani