Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gharama kubwa alikozikwa Ballali

Eneo alilozikwa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Daudi Ballali katika makaburi ya Gate of Heaven, Maryland nchini Marekani liliigharimu familia yake kiasi cha Dola 4,810 za Kimarekani (sawa na zaidi ya Sh8 milioni).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kodi kubwa za simu zinaongeza gharama

WAKATI bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 ikitarajiwa kuwasililishwa bungeni   kesho, masikio ya Watanzania wengi yameelekezwa huko yakitaka kusikia kama italeta ahueni au itaongeza gharama za maisha. Katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Gharama kubwa kutibu magonjwa yasiyoambukiza ni tiketi ya kifo

>Kuishi ni jambo moja. Kuishi maisha yenye afya njema ni kitu kingine.

 

9 years ago

Bongo5

Machangudoa wa Zimbabwe wakusanya mbegu za kiume na kuziuza kwa gharama kubwa

Prostitute+sex+worker

Wanaume wasio waaminifu walionywa mwaka jana nchini Zimbabwe kutoka miji ya Gwanda na Beitbridge iliyopo mpakani mwa Zimbabwe na Afrika ya Kusini.

Prostitute+sex+worker

Machangudoa kutoka miji hiyo hukusanya mbegu za kiume na kwenda kuziuza nchini Afrika ya Kusini. Inasadikika kuwa mbegu hizo zinakwenda kwa waganga wa kienyeji maarufu kama sangoma ili kutumika kwa mambo ya kishirikina.

Wengine wakihisi kwamba wanawake hao huuza mbegu hizo kati ya dola 25 hadi 30 kwa chupa ya milimeta 250 yaani robo lita....

 

9 years ago

Bongo5

Tatizo la gharama kubwa za kufanya video linatokana na uwepo wa kampuni moja tu ya kukodisha vifaa — Hanscana

Miaka kadhaa iliyopita waongozaji wa video za muziki Tanzania walikuwa wakikabiliwa na changamoto nyingi, na kubwa ilikuwa ni upatikanaji wa vifaa bora vya kuwezesha utengenezaji wa video nzuri. Muongozaji wa video za muziki Tanzania anayefanya vizuri kwa sasa, Hanscana amesema kuwa kwa sasa vifaa vinapatikana lakini changamoto iliyopo ni gharama kubwa ya kukodisha vifaa hivyo. […]

 

9 years ago

Bongo5

Msechu: Nina nyimbo 17 nilizorekodi kwa gharama kubwa lakini siwezi kuzitoa, ijue sababu

Msechu

Peter Msechu amekiri kuwa nyimbo zake za mwanzo hazikufanya vizuri kwasababu zilikuwa zikokiufundi sana, lakini ‘Nyota’ ndio ilikuja kumpa majibu kwamba mashabiki wa Tanzania wanataka nyimbo nyepesi zinazoweza kukaririka kirahisi.

Msechu

Msechu ameyasema hayo alipozungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio wiki hii.

“Kimuziki bado jamii yetu haijaelewa muziki wa professional…raia wa kibongo wanataka akiwa anapiga deki mmama akisikia chorus aimbe huku anapiga deki, lakini sio aanze kuhangaika...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA KIJIJI CHA QUNU ALIKOZIKWA MZEE NELSO MANDELA JUMAPILI DESEMBA 15, 201‏3

 Daraja la waendao kwa miguu likipita juu ya barabara mpya ya lami inayojengwa kuelekea kijijini Qunu.
Siku ya mazishi barabara ya kuelekea Qunu ilifungwa na ni magari yaliyokuwa na kibali tu ndiyo yaliyoruhusiwa kupita…

 

9 years ago

GPL

KABURI LA BALLALI KUFUKULIWA

HII mpya! Kuna madai kwamba, kaburi la aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu Daudi Timoth Ballali lililopo Makaburi ya Gate of Haeven (Geti la Mbinguni) Eneo Na. 6, Ploti Na. 241, Safu Na. 17 huko Maryland nchini Marekani lipo mbioni kufukuliwa ili kuwezesha vipimo vya vinasaba (DNA) kutumika kwa lengo la kubaini ukweli wa kifo chake, Ijumaa limeelezwa. Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),...

 

11 years ago

Mwananchi

KIFO: Mwisho wa Ballali

>Mkazi wa Kijiji la Luganga, Wilaya ya Mufindi, Iringa, alikozaliwa Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali analazimika kutumia saa 32 kufika katika kaburi la kiongozi huyo lililopo eneo la Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

 

11 years ago

Mwananchi

Nini kilimuua Gavana Ballali?

Wakati kukiwa na uthibitisho kwamba Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali alifariki dunia na kuzikwa miaka sita iliyopita, kitendawili kilichobaki ni sababu za ugonjwa na baadaye kifo chake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani