Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moravian wampongeza JK kuhusu Escrow

KANISA la Moravian Tanzania, limempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kitendo cha kuonesha usikivu na kuchukua hatua stahiki mapema kwa kuwawajibisha baadhi ya watuhumiwa waliodaiwa kuhusika katika suala la Escrow ili kurejesha imani ya wananchi kwa Serikali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UVCCM WAMPONGEZA MHE RAIS JAKAYA KIKWETE KWA HOTUBA YENYE UFAFANUZI WA KUJITOSHELEZA KUHUSU ESCROW

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) inampongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba yake nzuri iliyojaa ufafanuzi bayana wa masuala makubwa ya kitaifa, likiwemo suala la Akaunti ya Escrow ya Tegeta, yaliyoleta mkanganyiko kwa wananchi, aliyoitoa jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee alipozungumza na wazee wa jiji la Dar es salaam.
Sisi Vijana tunampongeza kwa kubariki na...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU WAMPONGEZA RAIS KUTEGUA KITENDAWILI CHA TEGETA ESCROW

NA CHALILA KIBUDA WA GLOBU  YA JAMII, DAR
SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo na Elimu ya Juu Nchini wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutoa maamzi kwa wale ambao walihusika katika sakata la akaunti ya Tegeta Escrow na kwa kutengua uteuzi wake kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi , Profesa Anna Tibaijuka, kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema  pamoja na kusimamishwa kazi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliackim Maswi.Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi wapongeza JK kuhusu Escrow

Rais Jakaya Kikwete.SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini, limesema uamuzi aliotoa Rais Jakaya Kikwete kuhusu sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow ni sahihi na haukumuonea mtu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kafulila ahojiwa na Takukuru kuhusu ESCROW

escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila NCCR-Mageuzi.

Na Mwandishi wetu

Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila amehojiwa na kuwasilisha  ushahidi wake kwa maandishi  kuhusu suala la tuhuma za wizi katika akaunti ya Tegeta Escrow huku akieleza sababu zake ni kwanini anataka Bunge lichunguze badala ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali na Takukuru

Kafulila ametoa andiko la kurasa saba kwenda kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru huku nakala zikitolewa kwa Spika wa Bunge na Mkaguzi na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kauli ya Bi Maria Nyerere kuhusu Escrow

Mjane wa hayati Julius Nyerere, Maria Nyerere Tanzania amezungumzia sakata ya ufisadi ya Escrow. Je kauli yake ilikuwa nini?

 

11 years ago

Mwananchi

Uongo kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow uachwe

Kwa mara nyingine Serikali kupitia viongozi na watendaji wake, akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha Dola 250 milioni za Kimarekani zilizopaswa kuendelea kuwapo kwenye ‘Tegeta Escrow Account’ si mali ya Serikali na hivyo si mali ya umma.

 

10 years ago

Habarileo

Bakwata yahimiza kuheshimiwa uamuzi wa JK kuhusu Escrow

Alhadi Mussa SalumBARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania kuheshimu uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete na mamlaka zinazohusika kuhusu suala la akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Habarileo

ESCROW: Wanazuoni waukubali ukweli kuhusu Prof Tibaijuka

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna TibaijukaWANAZUONI, wanasiasa na wananchi wamepongeza ufafanuzi wa Bodi ya Wadhamini ya Joha Trust kuhusu mchango wa Sh bilioni 1.617 kutoka kwa Mmiliki wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited, James Rugemalira kwa shule za Joha.

 

10 years ago

Michuzi

Ripoti ya GAG kuhusu akauti ya ESCROW yawasilishwa Bungeni leo

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe Zitto Kabwe akisoma Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (GAG) kuhusu akauti ya ESCROW Bungeni Mjini Dodoma leo.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Anne Makinda akifafanua jambo wakati akiendesha Bunge hilo leo mjini Dodoma.Baadhi ya wahudumu wa Bunge wakigawa Ripoti ya GAG kuhusu akauti ya ESCROW kwa WabungeWaheshimiwa Wabunge wakipitia ripoti ya GAG kwa makini wakati ikisomwa na Mwenyekiti wa Kamati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani