Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moshi kuboresha soko la Mwika

HALMASHAURI ya Wilaya ya Moshi inaandaa mpango wa kuboresha soko la Mwika, ili liwe la kisasa na kuondoa athari za ajali katika eneo hilo. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RC HAPI:ATOA SIKU TATU UONGOZI WA SOKO MAFINGA KUBORESHA HUDUMA YA CHOO

Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akikagua miundombinu ya Soko Kuu la Mafinga wilaya ya Mufindi wakati wa ziara ya Iringa mpya awamu ya pili.  Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akikagua miundombinu ya soko kuu la Mafinga wilaya ya Mufindi wakati wa ziara ya Iringa mpya awamu ya pili akiwa na viongozi wa mkoa wa Iringa na wilaya ya Mufindi
NA FREDY MGUNDA,MAFINGA.  WAFANYABIASHA wa soko kuu la Mafinga mkoani Iringa wamelalamikia kukosekana kwa huduma bora ya choo kwa kuwa inahatarisha afya za...

 

10 years ago

Mwananchi

Kufunguliwa kwa Soko Kuu Moshi kwazua utata

Meya wa Mji wa Moshi, Jaffar Michael amesema kufungwa kwa Soko Kuu la Kati mjini Moshi na kufunguliwa kwa amri ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ni sinema ya kisiasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara Mwika walalamikia ushuru magari

Wafanyabiashara wa mazao ya ndizi na maparachichi katika Soko la Mwika lililopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamelalamikia ongezeko la ushuru wa magari makubwa katika soko hilo.

 

10 years ago

Michuzi

AFRICAN BARRICK YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA NA KUBORESHA CHUO CHA MUHIMBILI ILI KUBORESHA TAALUMA YA UDAKTARI

Kampuni ya African Barrick Gold (ABG) imesaini mkataba wa miaka miwili (MoU) na Chuo Kikuu cha Afya cha Muhimbili (MUHAS) idara ya Mazingira na Afya bora kazini(Environmental and Occupational Health Sciences) ili kuboresha taluma za madaktari.
Ushirikiano huu utawezesha wanafunzi wa idara hiyo kupata nafasi za kwenda kufanya masomo kwa vitendo yani (field practise) kwenye ofisi na migodi ya kampuni ya ABG, pia pesa hizo zitatumika kwenye kukarabati majendo na utoaji wa vifaa...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimsikiliza kwa makini mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Mburahati, Mkude Higilo (kulia) wakati alipofanya ziara sokoni hapo kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge. Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wafanyabiashar wa soko la Mburahati wakati wa ziara yake sokoni hapo ambapo alikutana na...

 

10 years ago

Michuzi

From Moshi to Harvard Presentation by International School Moshi — This Saturday at Seacliff Hotel

International School Moshi welcomes you all to join us for a presentation and find out how we helped one of our students get into Harvard University. When: Feb 14th, 10:00 AM | Where: Sea Cliff Hotel, Dar es Salaam For more info please visit us on www.ismoshiarusha.org

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE NDESAMBURO NA MEYA WA MOSHI JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat.Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo.Baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael wakimsilikiza Ndesamburo.Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara .

 

9 years ago

Michuzi

AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAKABIDHI VIFAA YA KUFANYIA USAFI KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI


 Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi ,Hajira Mmambe akikabidhi vifaa vya kufanya usafi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ,Jeshi Lupembe ,vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya kutekeleza agizo la rais Magufuli la kufanyika wa usafi siku ya Desemba 9.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jeshi Lupembe akiwa ameongozana na Afisa afya mkuu wa manispaa hiyo,Mgeta Sebastian wakati wa kupokea msaada a vifaa vya...

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI -ILALA WALALAMIKIA KUKITHIRI KWA UCHAFU SOKO LA MCHIKICHINI

 Mwenyekiti wa Soko la Mchikichini-Ilala Jumanne Kongogo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Ofisi za Soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaam leo,  kuhusiana na wafanyabiashara Walemavu kufunga barabara ambayo inaruhusu magari kutoka na kuingia katika soko hilo, magari ambayo yanatoa huduma katika soko hilo.
Katibu wa soko la Mchikichini-Ilala jijini Dar es Salaaam John Andrew akionyesha takataka zilivyo lundikana katika eneo la soko la Mchikichini-Ilala baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani