Mourinho akaribia kutua Old Trafford
Wamiliki wa Manchester United ndiyo wenye uamuzi wa mwisho wa kumtimua Louis van Gaal baada ya Jose Mourinho kukubali kuwa kocha mpya wa miamba hiyo ya Old Trafford.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.ComRAHEEM STERLING HATIHATI KUTUA OLD TRAFFORD
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Luois Van Gaal anavutiwa na kasi ya mchezaji huyo na uwezo wake wa kuwaponyoka...
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video)
Jumamosi ya December 19 zimechezwa mechi saba za Ligi Kuu Uingereza, michezo ambayo ilikuwa inatajwa kuwa na mvuto zaidi ni mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Sunderland. Huu ulikuwa na mvuto kwa sababu ndio mchezo wa kwanza wa Chelsea kucheza bila kuwepo kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Jose Mourinho.Chelsea imefanikiwa kuifunga Sunderland kwa jumla […]
The post Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video) appeared first on...
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Binadamu ‘akaribia’ Sayari ya Pluto
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Sikinde yarejea ‘Old Trafford’
BAADA ya miaka minne, hatimaye kundi zima la Mlimani Park Orchestra ‘Sikinde’ limetanagaza kurejea rasmi ndani ya ukumbi wa DDC Kariakoo jijini Dar es Salaam. Ukumbi ambao mashabiki wa ‘Nginde’...
10 years ago
VijimamboRonaldo v Messi at Old Trafford
11 years ago
BBCSwahili13 May
Ferdinand kuondoka Old Trafford
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Waliokuwa Old Trafford warejea
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Raheem Sterling kuelekea Old Trafford?
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Mtendaji Nangolo huyoo Old Trafford
OFISA Mtendaji wa Kijiji cha Nangolo, wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Shaibu Dege, ameibuka mshindi wa tiketi mbili za kwenda kuangalia mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza kwenye Uwanja wa Old...