Waliokuwa Old Trafford warejea
>Washindi wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Airtel Mimi ni Bingwa wamerejea nchini wakitokea England waliokuwenda kushuhudia mpambano ya Ligi Kuu ya nchi hiyo kati ya Manchester United na Cardiff City kwenye Uwanja wa Old Trafford.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWATANZANIA WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: WATANZANIA 26 WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Kundi la Watanzania 26 limerejea nyumbani kutoka Afrika Kusini leo tarehe 26 Aprili, 2015 kufuatia mashambulizi ya wazawa dhidi ya wageni. Kundi hilo la kwanza kurejea nyumbani liliwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa 11 alfajiri na Ndege ya Fast Jet. Watanzania hao walikuwa wanaishi katika kambi za dharura za Isipingo na Phoenix zilizopo jijini Durban. Walisindikizwa...
11 years ago
GPLWASHINDI WA AIRTEL ‘MIMI NI BINGWA’ WAREJEA KUTOKA OLD TRAFFORD
5 years ago
CCM BlogWATANZANIA 57 WALIOKUWA WAMEKWANA AFRIKA KUSINI KUTOKANA NA CORONA WAREJEA NCHINI
Mmoja wa Watanzania waliokuwa wamekwama Afrika Kusini kutokana na nchi hiyo kufunga mipaka yake kutokana na Corona, Sunderland the only one akizungumza muda mfupi kabla ya kuondoka nchini humo, leo. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini humo Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi AFRIKA KUSINIWatanzania 57 waliokuwa wamekwama nchini Afrika Kusini kutokana na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 baada ya nchi hiyo kufunga mipaka yake hatimae wamerejea...
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Wanamichezo waliokuwa China kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola warejea nchini huku wakiwa na matumaini makubwa
Baadhi ya wanamichezo waliokuwa nchini China kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Bw. Leonard Thadeo akisukuma mzizigo ya baadhi ya makocha wa China waliombatana na Wanamichezo wa Tanzania waliokuwa China kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya Olympic yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu mjini Glasgow Scotland,...
11 years ago
BBCSwahili13 May
Ferdinand kuondoka Old Trafford
10 years ago
VijimamboRonaldo v Messi at Old Trafford
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Sikinde yarejea ‘Old Trafford’
BAADA ya miaka minne, hatimaye kundi zima la Mlimani Park Orchestra ‘Sikinde’ limetanagaza kurejea rasmi ndani ya ukumbi wa DDC Kariakoo jijini Dar es Salaam. Ukumbi ambao mashabiki wa ‘Nginde’...
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Raheem Sterling kuelekea Old Trafford?