Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPAMBANO WA MASUMBWI: SULEIMAN TALL, DULA MBABE ULINGONI MAY 24

Bondia mzoefu wa ngumi za kulipwa nchini Suleiman said Galile ”tall” (pichani) anategemea kupanda tena ulingoni may 24 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es salaam kuzipiga na Abdalah Pazi “dula mbabe/kiroba” katika pambano lisilo la ubingwa.  Akithibitisha kuwepo kwa pambano hilo katibu wa ngumi za kulipwa nchini na ndie anayesimamia mapambano yote ya utangulizi bw Ibrahim Abbas kamwe amesema, “Galile na Dula wamekubaliana kusheza siku hiyo ya jumamosi ya terehe 24 na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MPAMBANO WA MASUMBWI KUFANYIKA 28/3/2015

Na Mwandishi Wetu
Mabondia Julius Kisarawe kutoka 'Ndame Club' na Saidi Uwezo kutoka 'Mzazi GYM' watapanda uringoni march 28 kugombania ubingwa wa taifa wa kg 54 katika ukumbi wa manyara park uliopo CCM Tandale Manzese mpambano uho wa raundi kumi wenye upinzani wa hali ya juu utasindikizwa na mabondia mbalimbali kutoka katika kambi tofauti

ambapo bondia Ibrahimu Tamba atapambana na George Dimoso na Vicent Mbilinyo kutoka kwa 'Super D Boxing Coach' atapambana na Yusufu Mkari na kasimu Gamboo...

 

9 years ago

StarTV

Wladmir Klitschko, Tyson Fury ulingoni Jumamosi hii kwa mchezo wa masumbwi

 

  Mabondia wa uzito wa juu duniani Wldmir Klitschko wa Ukraine na Tyson Fury wa England jumamosi hii kupanda ulingoni huko Dusseldorf nchini Ujerumani huku pambano hilo la raundi 12  likisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki.

Klitschko  amabaye amkuwa bingwa wa dubnia wa uzani huo tangu 2006 akiwa amepigana mara 27  na kushinda mara 23 atakuwa akitetea  taji lake la WBA, IBF na WBO dhidi ya Fury anayetamba kumtandika bondia huyo wa Ukraine.

Hali ilikuwa uya utulivu wakati mabondia hao...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS WA TIMU YA JAMHURI YA PEMBA BW. SULEIMAN SULEIMAN SALEH AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIIONI 8 MJINI WETE PEMBA

Timu kongwe visiwani Zanzibar Jamhuri ya Wete Pemba iliyoanzishwa mwaka 1954 imepokea vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 8 kutoka kwa Bw.Suleiman Saleh ambaye alimkabidhi mdaada huo. Mjini Wete Pemba jioni ya Jumanne Oktoba 7 2014 hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya Sekondari ya Utaani iliyopo Wete Pemba.Bw..Saleh ambaye ni Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC alikabidhi vifaa mbali mbali vikiwemo...

 

5 years ago

OkayAfrica

Burna Boy Announces 'Twice As Tall' World Tour Dates

Burna Boy Announces 'Twice As Tall' World Tour Dates  OkayAfricaBurna Boy Announces Tour  PitchforkBurna Boy records yet another loss  The Nation NewspaperView Full coverage on Google News

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Bongo5

Pacquiao kustaafu masumbwi mwakani

Bondia wa Ufilipino, Manny Pacquiao ametangaza Jumatano hii kuwa anaweza kustaafu masumbwi mwakani baada ya pambano moja la mwisho ili kujikita kwenye siasa zaidi na pengine kuwamia nafasi ya useneta. Pacquaio aliyeokoka, amedai kuwa amechukua ushauri kutoka kwa Mungu. “Nadhani nipo tayari kustaafu. Nimekuwepo kwenye ndondi kwa miaka 20,” alisema Pacquiao, 36 kwenye mahojiano na […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Masumbwi Tanzania yasua sua

Mashindano ya taifa ya masumbwi nchini Tanzania huenda yakasogezwa mbele mpaka mwezi July.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani