MPANGO WA ‘BLUE PRINT’ UMEANZA KULETA NEEMA YA KIUCHUMI KWA WAFANYABIASHARA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZB4ZxU03WM8/XsO-wz1AhdI/AAAAAAALqwU/sW0iFv72qXgedceftkcg2IS95wwIL_5uACLcBGAsYHQ/s72-c/Waziri-wa-Tamisemi-Seleman-Jafo.jpg)
Na Ismail Ngayonga,MAELEZO-DAR ES SALAAM
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR -TAMISEMI) inatekeleza Mpango wa wa Uboreshaji wa Mazingira ya Biashara (BLUE PRINT) unaolenga kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji kwa Njia ya Majadiliano ili kuwainua Wananchi Kiuchumi.
Mpango huo unatekelezwa ili ili kukabiliana na changamoto za kibiashara na uwekezaji hususani zinazokwamisha kukua kwa biashara na maendeleo ya kiuchumi katika ngazi ya chini na wananchi wanaojishughulisha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 May
Mvua zatarajiwa kuleta neema ya mavuno kwa nchi za Afrika Mashariki
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Dk. Shein aahidi neema kwa wafanyabiashara
Na Esther Mbussi, Zanzibar
MGOMBEA urais wa Zanzibar, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein amesema maendeleo kwa wafanyabiashara wadogo visiwani humo ni lazima.
Kutokana na hali hiyo, ameahidi kuwajengea eneo la maonyesho ya biashara ili kuwavutia wafanyabiashara wa nje.
Akizungumza katika viwanja vya Urafiki, Jimbo la Sahurimoyo mjini Unguja juzi, Dk. Shein alisema mradi huo licha ya kuwavutia wafanyabiashara, utawasaidia kutangaza biashara zao.
“Wafanyabiashara...
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Samwel Nakei, aapishwa kuwa kamanda wa UVCCM wilaya mpya ya Mkalama, Mkoani Singida aahidi kuleta neema kwa Vijana
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhan Kapeto akimwapishwa Samwel Nakei kuwa kamanda wa UVCCM Wilaya ya Mkalama jana.
Samweli Nakei akila kiapo cha kuwa Kamanda wa (UVCCM) Wilaya ya Mkalama.
Na Hillary Shoo, MKALAMA
VIJANA Wilayani Mkalama Mkoani Singida wametakiwa kujiunga kwenye vikundi mbalimbali vya ujasiriamali ili waweze kukopesheka kirahisi badala ya mtu mmoja mmoja.
Changamoto hiyo imetolewa jana Wilayani hapa na Kamanda Mpya ya Umoja wa vijana wa (UVCCM) Wilaya ya Mkalama,...
10 years ago
Mwananchi26 Oct
‘Blue Iris’ kwa sasa ndiyo mpango mzima
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Nguzo za zege kuleta neema ya umeme
UPATIKANAJI wa umeme nchini umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu hali inayorudisha nyuma maendeleo. Tatizo hilo la upatikanaji wa umeme linatokana na miundombinu duni toka uhuru wa Tanzania Bara hadi...
11 years ago
Habarileo24 Jun
Bilionea Dangote kuleta neema Tanzania
KAMPUNI ya Dangote Group inayomilikiwa na bilionea kutoka Nigeria, imetangaza neema itakayotokana na uwekezaji wa kiwanda cha saruji unaofanyika mkoani Mtwara, miongoni mwake ikiwa ni kupungua kwa bei ya saruji uzalishaji utakapoanza.
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Kongamano Kanda ya Ziwa kuleta neema kiuwekezaji
KILA nchi kwa njia zake huwa inajitahidi kuweka sera madhubuti ili kuhakikisha uwekezaji unafanyika na kuongeza pato la taifa na la mtu mmoja mmoja. Kutokana na kugundua hilo, Kituo cha...
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Uzazi wa mpango utekelezwe na familia kwa vitendo, ili kustawi vyema na kuimarika kiuchumi
Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Singida, Aziza Mumba akikata utepe kuzindua nyota mpya ya kijani.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Aziza Mumba akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Singida wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya nyota ya kijani kwenye viwanja vya peoples Mjini Singida.
Kaimu Mganga mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Mussa Kimala akizungumza kwenye sherehe hizo.
Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Martha Shekinyau akizungumza kwenye uzinduzi huo kwa niaba ya...
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Mr. Blue: Ndoa ina neema katika muziki
NA THERESIA GASPER
MSANII wa kizazi kipya nchini, Khery Sameer ‘Mr Blue’, amewaeleza wasanii wenzake ambao hawajaolewa na wale wasiooa kwamba ndoa ina neema kubwa kimuziki hivyo watimize jambo hilo mapema.
“Inasikitisha vijana wengi wake kwa waume waliofikisha umri wa kuoa na wale wa kuolewa wanakwepa kutimiza ndoa wakihofu kupotea kimuziki lakini nawaeleza kwamba ndoa ina uhusiano mzuri na mafanikio ndiyo maana wengi waliooana wanafanya vizuri katika mambo yao,” alieleza Mr...