Mr and Mrs Nyongo!
![](http://2.bp.blogspot.com/-Aimw-LserD8/VbUuX7LvFEI/AAAAAAAACek/K85QQQTj1kY/s72-c/2015-07-26-10.54.35.jpg)
Beautiful picture of Mr and Mrs Nyongo all the way from Sydney, Australia!
Usiwaonee wivu ni bahati...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Frank atema nyongo
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Matumaini ya Arsenal yatumbukia nyongo
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-oRh63vS-zIE/VRCVIP6mPxI/AAAAAAAAAGw/iBOTn4QXMKU/s72-c/Aidan.jpg)
Happy Birthday Aidan Nyongo
![](http://3.bp.blogspot.com/-oRh63vS-zIE/VRCVIP6mPxI/AAAAAAAAAGw/iBOTn4QXMKU/s1600/Aidan.jpg)
Happy birthday Mr. Aidan Nyongo. Nifuraha ilioje kushare siku yako ya kuzaliwa na watu uwapendao. Aidan amezaliwa leo tarehe 23rd March, kipenzi chake, mkewe aliye pendezwa naye amezaliwa 19th of March, kijana wake mpendwa pamoja na binti yake mpendwa wote wamezaliwa 14th of March! Pia marehemu baba mkwe wa Aidan (R.I.P) alizaliwa tarehe 19th of March!
![](http://1.bp.blogspot.com/-_RJ63hGNPoc/VRCXpw0e2iI/AAAAAAAAAG4/j9rnAy-y2gs/s1600/Fina2.jpg)
9 years ago
Habarileo19 Aug
Mbunge wa zamani atema nyongo
MBUNGE wa Mpwapwa aliyemaliza muda wake na kushindwa katika kura za maoni alipoomba ridhaa ya wanachama wa CCM kuwania tena ubunge wa jimbo hilo, Gregory Teu, amesema hatakuwa tayari kumuunga mkono mgombea aliyepitishwa na chama hicho tawala kuwania katika uchaguzi mkuu ujao, akidai ushindi huo alioupata ni wa mizegwe.
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Casillas atema nyongo Simba
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
KIPA wa timu ya Simba, Hussein Shariff ‘Casillas’, amesema hayupo tayari kutolewa kwa mkopo kwenda timu nyingine, huku akidai bora aache kabisa kuitumikia timu hiyo na kuwa mchezaji huru.
Cassilas amekuwa majeruhi kwa muda mrefu baada ya kuumia goti walipokuwa kambini nchini Afrika Kusini mwaka jana, hali iliyopelekea kukaa muda mrefu bila kucheza, ambapo inadaiwa uongozi wake unataka kumtoa kwa mkopo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Cassilas alisema yupo...
5 years ago
MichuziNyongo Migogoro ya Wachimbaji Hutatuliwa Kisheria
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Bonge la Bwana kuzindua ‘Nyongo mkalia ini’
MSANII nyota wa muziki wa taarabu nchini wa Kundi la Kings Modern Taarab, Hassani Ally ‘Bonge la Bwana’, anatarajia kuzindua albamu yake mpya ya ‘Nyongo mkalia ini’ iliyobeba nyimbo tano....
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Mawe katika mfuko wa nyongo (gallstones/Cholelithiasis)