Nyongo Migogoro ya Wachimbaji Hutatuliwa Kisheria
Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo mwenye Koti akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa vikundi 14 Kwahemu Daudi Elia akitoa maelezo ya uchimbaji kwenye eneo la machimbo wilayani Chamwino mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo na timu yake wakiwa kwenye maeneo ya Kwahemu akikagua maeneo yanayochimbwa madini kabla ya kuanza kusikiliza mgogoro uliopo.
Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akitoa maelezo na kusisitiza kuhusu utaratibu wa umiliki wa leseni kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Naibu Waziri Nyongo awataka viongozi wa vijiji kushiriki kutoa elimu ya uwekezaji sekta ya madini kupunguza migogoro


Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Juma Sweda (shati ya draft) nyuma yao ni Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Fredy Mahobe na wajumbe wengine wakitoka kukagua jengo lililoandaliwa kwa ajili ya kufungua soko la madini la wilaya hiyo. (Picha na Wizara ya Madini).


11 years ago
Michuzi.jpg)
Kairuki: Wananchi tumieni wasaidizi wa kisheria kutatua migogoro
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
Mr and Mrs Nyongo!


10 years ago
Mwananchi12 Jan
Frank atema nyongo
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Matumaini ya Arsenal yatumbukia nyongo
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Casillas atema nyongo Simba
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
KIPA wa timu ya Simba, Hussein Shariff ‘Casillas’, amesema hayupo tayari kutolewa kwa mkopo kwenda timu nyingine, huku akidai bora aache kabisa kuitumikia timu hiyo na kuwa mchezaji huru.
Cassilas amekuwa majeruhi kwa muda mrefu baada ya kuumia goti walipokuwa kambini nchini Afrika Kusini mwaka jana, hali iliyopelekea kukaa muda mrefu bila kucheza, ambapo inadaiwa uongozi wake unataka kumtoa kwa mkopo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Cassilas alisema yupo...
10 years ago
Habarileo19 Aug
Mbunge wa zamani atema nyongo
MBUNGE wa Mpwapwa aliyemaliza muda wake na kushindwa katika kura za maoni alipoomba ridhaa ya wanachama wa CCM kuwania tena ubunge wa jimbo hilo, Gregory Teu, amesema hatakuwa tayari kumuunga mkono mgombea aliyepitishwa na chama hicho tawala kuwania katika uchaguzi mkuu ujao, akidai ushindi huo alioupata ni wa mizegwe.
10 years ago
Vijimambo
Happy Birthday Aidan Nyongo

Happy birthday Mr. Aidan Nyongo. Nifuraha ilioje kushare siku yako ya kuzaliwa na watu uwapendao. Aidan amezaliwa leo tarehe 23rd March, kipenzi chake, mkewe aliye pendezwa naye amezaliwa 19th of March, kijana wake mpendwa pamoja na binti yake mpendwa wote wamezaliwa 14th of March! Pia marehemu baba mkwe wa Aidan (R.I.P) alizaliwa tarehe 19th of March!

11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Bonge la Bwana kuzindua ‘Nyongo mkalia ini’
MSANII nyota wa muziki wa taarabu nchini wa Kundi la Kings Modern Taarab, Hassani Ally ‘Bonge la Bwana’, anatarajia kuzindua albamu yake mpya ya ‘Nyongo mkalia ini’ iliyobeba nyimbo tano....