Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MR UWAZI ARUDISHA GHARAMA ZA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MR.UWAZI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR

Mkazi wa Mbezi Mwisho akipozi na Mr.Uwazi baada ya kurudishiwa pesa yake aliyonunulia gazeti. Mr.Uwazi akiongea na msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho huku akitoa maoni yake ya nini kifanyike ndani ya gazeti hilo ili liendelee kuwa bora.…

 

11 years ago

GPL

MR UWAZI AZIDI KUMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE DAR

Mr. Uwazi akitoa zawadi kwa mmoja wa wasomji wa Gazeti la Uwazi eneo la Bunju B, Dar. Mr. Uwazi akiendelea kumwaga zawadi kwa wadau mbalimbali wa Gazeti la Uwazi.…

 

10 years ago

GPL

'MR. UWAZI MIZENGWE’ AWATEMBELEA WASOMAJI WAKE DAR

Wasomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe wakipozi na Mr. Uwazi eneo la Jet Lumo, Dar. Mr. Uwazi akijibu maswali kutoka kwa Iddi Mussa wa eneo la Jet Lumo, Dar.…

 

11 years ago

GPL

WASOMAJI WA ‘UWAZI’ WAMWAGIWA ZAWADI JIJINI DAR

Msichana wa Kawe  akitokwa na machozi ya furaha wakati akikabidhiwa zawadi. Mr Uwazi akimwaga zawadi Kawe.…

 

10 years ago

GPL

MR. UWAZI AGAWA SUKARI KWA WASOMAJI WA ‘UWAZI MIZENGWE’ DAR

Msomaji wa Uwazi Mizengwe akipokea zawadi ya mfuko wa sukari eneo la stendi ya daladala ya Makumbusho, Kijitonyama. Mteja wa Uwazi Mizengwe (kushoto mwenye mkoba) kabla ya kununua gazeti katika meza ya muuza magazeti eneo la Mwenge.…

 

11 years ago

GPL

UWAZI LATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE

Msomaji wa Gazeti la Uwazi akivaa tisheti aliyopewa na waandishi wa gazeti hilo kama zawadi baada ya kukutwa akisoma gazeti hilo maeneo ya Mbagala jijini Dar. Mr. Uwazi akimkabidhi msomaji zawadi ya sabuni kama motisha ya kusoma gazeti hilo. …

 

9 years ago

GPL

MR UWAZI AMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE

Msomaji wa Gazeti la  Uwazi mkazi wa eneo la Buza-Bakwata akipokea zawadi  ya sukari kutoka kwa Mr. Uwazi.  Anayeshuhudia kulia ni Ofisa Usambazaji wa Global,Yohana Mkanda. Wadau wa gazeti la Uwazi wakipozi na Mr. Uwazi…

 

9 years ago

GPL

MR. UWAZI AGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE BAGAMOYO

Mr.Uwazi alipotua stendi ya Bagamoyo kugawa zawadi kwa wasomaji wake. Msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe akipozi na Mr.Uwazi huku akisoma gazeti lake kabla ya upatiwa zawadi.…

 

11 years ago

GPL

UWAZI LAENDELEA KUTOA MOTISHA KWA WASOMAJI WAKE

Msomaji wa Gazeti la Uwazi akikabidhiwa zawadi yake ya tisheti kutoka kwa mfanyakazi wa Global Publishers Ltd, Jimmy Haroub (kulia). Msomaji wa Uwazi akipatiwa  zawadi ya tisheti na Jimmy eneo ya Ubungo Dar .…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani