Mrema ahoji wala fedha za umma kulindwa
MBUNGE wa Vunjo Agustino Mrema ameitaka serikali itoe majibu ni nani anawalinda mchwa wala fedha za umma mkoani Kilimanjaro. Mrema alitoa kauli hiyo juzi wakati akichangia hotuba ya Makadirio ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
MichuziMDAU ANGELA AKILIMALI NA WENZAKE WALA NONDO YA MAWASILIANO YA UMMA
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Fedha za Escrow ni mali ya umma
KWA mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika ‘Tegeta Escrow...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Usimamizi fedha za umma waimarika
USIMAMIZI wa matumizi ya fedha za umma kwa kutumia mfumo wa kielektroniki (Epicor) katika Mamlaka za Serikali za Mitaa umeongezeka kutokana na kukamilika kwa Mkongo wa Taifa wa mawasiliano nchini....
10 years ago
Habarileo13 May
‘Mchwa’ fedha za umma kukiona
OFISI wa Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeziagiza halmashauri zote nchini, kuanzia Julai Mosi, mwaka huu kuanza kutumia mfumo wa kielektroniki katika ukusanyaji wa mapato yote ya ndani.
10 years ago
Habarileo28 Nov
Muhongo: Fedha za Escrow si za umma
SERIKALI imesema kuwa fedha zilizokuwamo katika akaunti ya Tegeta Escrow ya wanahisa wa Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), hazikuwa za umma, na ilichukua tahadhari ya kutosha dhidi ya madai mengine yanayoweza kujitokeza kabla ya kutolewa kwa fedha katika akaunti hiyo iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Viongozi watakaofuja fedha za umma kukiona
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Zitto: Fedha za Escrow ni mali ya umma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuwa dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika akaunti ya ‘Tegeta Escrow’ ni mali ya serikali na hivyo ni mali...