MDAU ANGELA AKILIMALI NA WENZAKE WALA NONDO YA MAWASILIANO YA UMMA
Kaimu Mgukurugeni wa Uhuru FM, Angela Akilimali (katikati) akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Mawasiliano ya uma ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika mahafali yaliyofanyika hivi katibuni mkoani Kibaha mkoani Pwani. Kushoto ni Hemed Mbaraka na Mganwa Nzota. Wanahabari wa morogoro nao walikula nondo zao katika mahafali hayo. Angela Akilimali akiwa na mumewe Hassan Hemedi Chamshama baada ya kumkabidhi shada la maua wakati akimpongeza. Toka kushoto ni Idda Mushi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMDAU MOSES MWANGENDE ALA NONDO BEIJINING-CHINA
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Mrema ahoji wala fedha za umma kulindwa
MBUNGE wa Vunjo Agustino Mrema ameitaka serikali itoe majibu ni nani anawalinda mchwa wala fedha za umma mkoani Kilimanjaro. Mrema alitoa kauli hiyo juzi wakati akichangia hotuba ya Makadirio ya...
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
DK HAMZA KONDO: Mtanzania kwa kwanza kutunukiwa PhD ya mawasiliano ya umma nchini
CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa chuo cha kwanza Tanzania tangu nchi ipate uhuru kutunuku shahada ya uzamivu ya mawasiliano ya umma (PhD in Mass Communication) kati ya vyuo...
10 years ago
Bongo524 Aug
New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Akilimali apinga kutulizwa
11 years ago
GPLManji amvaa mzee Akilimali
11 years ago
GPLManji amruhusu mzee Akilimali kuzungumza
10 years ago
GPLMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YASAINI MIKATABA KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
GEMMA AKILIMALI: Mwalimu anayefanya makubwa kwa taifa bila kujiweka mbele
LEO katika safu yetu ya Mwanamama tunawaletea Mwalimu Gemma Akilimali. Mama huyu alizaliwa Januari 27, mwaka 1950. Ni mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu, mwalimu, msomi, mwanafamilia, muumini imara wa...