Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akilimali apinga kutulizwa

Siku moja baada ya kufungwa mdomo kuzungumzia masuala ya klabu, Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga Ibrahim, Akilimali maarufu ‘Abromovich’ amesema hatasita kuongea iwapo kuna jambo litamkera.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Manji amvaa mzee Akilimali

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji. Na Nicodemus Jonas
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, jana alimjia juu Katibu wa Baraza la Wazee wa klabu hiyo, mzee Ibrahim Akilimali, akimtaka kuacha kujifanya msemaji wa Yanga. Manji alimbwatukia mzee huyo hadharani katika Mkutano Mkuu wa Yanga uliohudhuriwa na zaidi ya wanachama 400 kwenye Ukumbi wa Karume, PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti huyo ambaye alionekana kuchachamaa,...

 

11 years ago

GPL

Manji amruhusu mzee Akilimali kuzungumza

Ibrahimu Mussa na Khadija Mngwai
KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, mzee Ibrahimu Akilimali, ameibuka na kusema kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuph Manji aliuziwa ‘mbuzi kwenye gunia’, ndiyo maana akamzuia kuzungumza na waandishi wa habari. Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji(kulia) na Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga, mzee Ibrahimu Akilimali (kushoto). Hivi karibuni Manji alimzuia mzee huyo kuzungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU ANGELA AKILIMALI NA WENZAKE WALA NONDO YA MAWASILIANO YA UMMA

Kaimu Mgukurugeni wa Uhuru FM, Angela Akilimali (katikati) akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Mawasiliano ya uma ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika mahafali yaliyofanyika hivi katibuni mkoani Kibaha mkoani Pwani.  Kushoto ni Hemed Mbaraka na Mganwa Nzota.  Wanahabari wa morogoro nao walikula nondo zao katika mahafali hayo.  Angela Akilimali akiwa na mumewe Hassan Hemedi Chamshama baada ya kumkabidhi shada la maua wakati akimpongeza.  Toka kushoto ni Idda Mushi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

GEMMA AKILIMALI: Mwalimu anayefanya makubwa kwa taifa bila kujiweka mbele

LEO katika safu yetu ya Mwanamama tunawaletea Mwalimu Gemma Akilimali. Mama huyu alizaliwa Januari 27, mwaka 1950. Ni mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu, mwalimu, msomi, mwanafamilia, muumini imara wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK apinga serikali tatu

RAIS Jakaya Kikwete amefanya kampeni ya wazi kutetea mfumo wa serikali mbili unaopiganiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akitumia muda mrefu kujaribu kuonyesha ‘ubaya’ wa mfumo wa serikali tatu....

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE APINGA KUFUNIKWA MAKALIO

Stori: Imelda Mtema MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa. Modo anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ katika pozi tofauti. Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana kwa jina la Samia pande za Sauzi.… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa apinga urais wa Dk Magufuli

Saa chache kabla ya Dk John Magufuli wa CCM kutangazwa mshindi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana, mgombea wa Chadema, Edward Lowassa aliwasilisha pingamizi lenye hoja tatu kuhusu mwenendo wa uchaguzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva na kugonga mwamba.

 

9 years ago

Habarileo

Mtemvu apinga matokeo Temeke

ALIYEKUWA mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu amefungua kesi ya uchaguzi namba 2 ya mwaka huu katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam akipinga matokeo ya ubunge katika jimbo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani