Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrwanda: Simba longo longo nyingi

Mshambuliaji Mpya wa timu ya Yanga, Danny Mrwanda amevunja ukimya kwa kusema hakutaka kusajiliwa Simba kwa mali kauli anachoangalia na 'njuru'.
Mrwanda ambaye ameanza mazoezi na Yanga jana jioni na kukabidhiwa jezi namba 24 alisema walishindwana dau na Simba  hivyo anaangalia kwenye maslahi.
"Mpira ni kazi yangu, naishi kwa ajili ya kutegemea mpira, sasa wao wameleta longo longo, Yanga wamekuja nikawapa dau wakakubali nikasaini mkataba, sasa hivi maisha yangu ni Yanga na akili zangu naelekeza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Aidaly Classic — Longo Longo

Hii ni video mpya ya msanii Aidaly Classic wimbo unaitwa “Longo Longo”. Video imeongozwa na Nick Dizzo Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Mwananchi

Mrwanda: Sikutaka longolongo na mali kauli za viongozi wa Simba

 Mshambuliaji mpya wa Yanga, Danny Mrwanda amesema kilichomfanya asisajiliwe na Simba ni usajili wa “mali kauli”, wakati anachoangalia kwa sasa ni fedha.

 

11 years ago

Michuzi

YANGA SC NA SHOOTING YAINGIZA FEDHA NYINGI KULIKO SIMBA NA JKT RUVU


Na Boniface Wambura, Dar es Salaam MECHI za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu Shooting mabao 7-0 mechi yake iliingiza sh. 68,450,000 kutokana na washabiki 11,972 kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.Katika mechi hiyo kila klabu ilipata mgao wa sh. 15,687,488 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa kutokana na...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mrwanda chaguo langu’

Kocha mkuu wa Simba, Patrick Phiri amemrudisha kundini mshambuliaji Danny Mrwanda akieleza kuwa ndiye alikuwa chaguo lake.

 

10 years ago

GPL

Tegete, Mrwanda watemwa Yanga

Mkongwe wa Yanga, Jerry Tegete. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
BENCHI la ufundi la Yanga chini ya Mdachi, Hans van Der Pluijm, limedaiwa kufanya maamuzi magumu ambayo kwa namna moja au nyingine, yatawashangaza wadau wengi wa klabu hiyo. Imedaiwa kuwa kocha huyo ambaye ameiongoza Yanga msimu huu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, amependekeza wachezaji saba kuondolewa kutokana na mchango yao finyu msimu mzima, akiwemo mchezaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Mrwanda asaini mwaka mmoja Yanga

Yanga imefanya usajili wa kushtukiza na kuwawahi wapinzani wao Simba baada ya kumsainisha mshambuliaji mkongwe Danny Mrwanda  mkataba wa mwaka mmoja akitokea Polisi Morogoro.

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumo unaiharibu Taifa Stars- Mrwanda

Mshambuliaji wa Polisi Morogoro, Danny Mrwanda amesema mfumo mbovu wa kuiandaa timu ya Taifa ndio unaigharimu timu hiyo hadi kufanya vibaya.

 

10 years ago

GPL

Saa mbili za Mrwanda Yanga ni hatari

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda. Na Waandishi Wetu
UNAWEZA kusema ni umafia umefanyika baada ya mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda, kujiunga na Yanga akitokea Polisi Morogoro. Mrwanda alisaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuwatumikia vijana hao wa Jangwani, juzi jioni na jana alifanya maajabu kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyokuwa yakifanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam. Awali,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mrwanda amtaka Malinzi kuacha utani

Mshambuliaji Danny Mrwanda amemtaka Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, kuacha utani juu ya timu ya taifa kwa kuangalia kikosi cha timu ya Maboresho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani