Mrwanda amtaka Malinzi kuacha utani
Mshambuliaji Danny Mrwanda amemtaka Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, kuacha utani juu ya timu ya taifa kwa kuangalia kikosi cha timu ya Maboresho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo08 Nov
Malinzi amtaka Chabruma asomee ukocha
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF), Jamali Malinzi amesema anafikiria namna ya kumshawishi nyota wa timu ya taifa ya wanawake nchini ‘Twiga Stars’ Ester Chabruma kujiunga na kozi za ukocha.
10 years ago
Mwananchi04 Dec
‘Mrwanda chaguo langu’
Kocha mkuu wa Simba, Patrick Phiri amemrudisha kundini mshambuliaji Danny Mrwanda akieleza kuwa ndiye alikuwa chaguo lake.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EWMw8iXl*iV1qS3pYI5To6wSGGqSuSR7diHOxJyg7fMFNUEpHrFJjvu1APwmgEWvaFkyQBBTc5SFVAOzCYOyfAxNnCL422t5/oiooo.jpg)
Tegete, Mrwanda watemwa Yanga
Mkongwe wa Yanga, Jerry Tegete. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
BENCHI la ufundi la Yanga chini ya Mdachi, Hans van Der Pluijm, limedaiwa kufanya maamuzi magumu ambayo kwa namna moja au nyingine, yatawashangaza wadau wengi wa klabu hiyo. Imedaiwa kuwa kocha huyo ambaye ameiongoza Yanga msimu huu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, amependekeza wachezaji saba kuondolewa kutokana na mchango yao finyu msimu mzima, akiwemo mchezaji...
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Mfumo unaiharibu Taifa Stars- Mrwanda
Mshambuliaji wa Polisi Morogoro, Danny Mrwanda amesema mfumo mbovu wa kuiandaa timu ya Taifa ndio unaigharimu timu hiyo hadi kufanya vibaya.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcXmeIACEcj0LXe5NNeKBIEIyAaFjJWchfTWpuRg8J-WB7KDaH8VB8UAfZcyY7zkJOhCxDJtzMLiKJk7i9TbW9fZ/sensuality1.jpg?width=650)
Saa mbili za Mrwanda Yanga ni hatari
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda. Na Waandishi Wetu
UNAWEZA kusema ni umafia umefanyika baada ya mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda, kujiunga na Yanga akitokea Polisi Morogoro. Mrwanda alisaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuwatumikia vijana hao wa Jangwani, juzi jioni na jana alifanya maajabu kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyokuwa yakifanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam. Awali,...
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mrwanda asaini mwaka mmoja Yanga
Yanga imefanya usajili wa kushtukiza na kuwawahi wapinzani wao Simba baada ya kumsainisha mshambuliaji mkongwe Danny Mrwanda  mkataba wa mwaka mmoja akitokea Polisi Morogoro.
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Yanga yaiadhibu Polisi Mrwanda awaua ‘waajiri’ wake
Danny Mrwanda akirejea kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro akicheza dhidi ya timu yake ya zamani, Polisi ameipa Yanga pointi tatu muhimu na kuipandisha kwa muda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu.
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Mrwanda: Sikutaka longolongo na mali kauli za viongozi wa Simba
 Mshambuliaji mpya wa Yanga, Danny Mrwanda amesema kilichomfanya asisajiliwe na Simba ni usajili wa “mali kauliâ€, wakati anachoangalia kwa sasa ni fedha.
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Kuanguka kwa Mugabe kwageuzwa utani
Baada ya Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe kuteleza na kuanguka katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Harare, watu wengi duniani wamechukulia kitendo cha kuanguka kwa rais huyo kama staili ya kutembea wakiwa na lengo la kumdhihaki.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania